DRC : Waasi wa M23 waripotiwa kuelekea kuunda mfumo wao wa fedha

DRC : Waasi wa M23 waripotiwa kuelekea kuunda mfumo wao wa fedha

Mkuu mawazo kama yako ndio yameifikisha congo pale ilipo leo. Wale ni wakongo na warwanda.
Mawazo yangu yamefika Congo kivipi mkuu. Kagame kwake ni Rwanda. Anaenda kuuwa wacongo kwa uroho wa mali na sio kuwatendea haki.
 
Mawazo yangu yamefika Congo kivipi mkuu. Kagame kwake ni Rwanda. Anaenda kuuwa wacongo kwa uroho wa mali na sio kuwatendea haki.
Mkuu siungi mkono majeshi yoyote congo ninachosema ni hao waasi kuitwa warwanda. Huko congo kuna majeshi ya nchi changu nzima wanefata nini sio kuua raia wa congo?
 
Back
Top Bottom