komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,523
Mawazo yangu yamefika Congo kivipi mkuu. Kagame kwake ni Rwanda. Anaenda kuuwa wacongo kwa uroho wa mali na sio kuwatendea haki.Mkuu mawazo kama yako ndio yameifikisha congo pale ilipo leo. Wale ni wakongo na warwanda.
Unajua silaha na idadi ya majeshi ambayo Kagame ameingiza Congo ?Miaka 20 iliyopita ni 2004,1997-8 walifika Kinshasa,wakarudishwa,kwa congo Hilo siyo final,unaweza amka ukakuta m23 wamekimbilia Uganda
Bora umemwambia huyo mtutsikwamba tuweke mifumo ya kuifurahisha Rwanda ?
Rwanda ina wanajeshi 30k,na hawezi peleka wote Congo,na hata akipeleka haizuwii counterUnajua silaha na idadi ya majeshi ambayo Kagame ameingiza Congo ?
Stupid. Ndio maana PK anamdharau Tshikedy kwamba was a buger/pizza supplierUnazuia watu wasitoe pesa lakini wanaend kutolea kwa adui😅😅
Mkuu siungi mkono majeshi yoyote congo ninachosema ni hao waasi kuitwa warwanda. Huko congo kuna majeshi ya nchi changu nzima wanefata nini sio kuua raia wa congo?Mawazo yangu yamefika Congo kivipi mkuu. Kagame kwake ni Rwanda. Anaenda kuuwa wacongo kwa uroho wa mali na sio kuwatendea haki.