DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
We unafikiri rwanda anaweza kuwangiza wanajeshi wake
Mpk katikati ya kongo....
Sana sana yeye anavamia maeneo fulani tu na pembezoni mwa kongo
All out war hawezi kufanya kongo hata siku moja

Ova
 
Tuwe makini nchi yetu isijikute inaingia vita na tusiowajua sisi huku tukifikiri ni Rwanda! Russia ilipoivamia Ukraine haikujua kama itapambana na US na nchi za EU mpaka leo.
Natamani nchi yetu iendelee kuwa ya Amani,kama vipi wanajeshi wetu wajitoe katika kikosi cha kulinda amani huko Kongo warudi nyumbani.
 
Wamalinda amani ipo? Kama serkali imethibitisha kuwa nchi yetu haikuwa salama nao wakakimbilia DRC unaona zinawayosha kweli? Mkitaka Congo itulie kamata Kagame ua kamata M7 ua utaona matokeo ndani ya Miezi mitatu
 
Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Tanzania tunatia aibu kuongea vitu ambavyo hatuna ushahidi nao wala kujua lolote. Hivi ukiulizwa ulete ushahidi angalau kidogo kuonesha namna intelligence ya rwanda ilivyotapakaa utaketa? Intelligence huwa ni classified mno na mara nyingi data zake wanazo wachache Sana.
 
Hivi Tanzania inatafuta nini Congo?
Nchi zote zilizoko kwny misheni ya kupambana Huko Somalia,CAR,Congo,Sudan etc ziko pale kwa ajili ya utamu wa pesa za UN.Huoni wanajeshi wakitoka Huko wanajenga majumba,wananunua magri ya kifahari etc

Jiulize kwanini UN haipeleki majeshi huko Afghanistan,Iraq,Libya kwny mziki mnene😄😄😄😄
 
Mbona muoga hivyo brother, wabongo sio wajinga kiihivyo kwenye issue za ulinzi wa nchi yetu tuko vizuri. Na vijana wetu huko hawatoki maana hawakai bure kuna maslahi yetu pia tunalinda
 
PK and M7 its the CIA project for their interest in DRC....you should be carefully dealing with them.... for now they are untouchable may be till the Cow boyz says its over....

DRC is the project of Cowboyz and french Africa, and will remain in that way forever.
Mozambique is the project of french Africa, due to the fact that portugues are poor to handle these projects..

Tanzania is the Cowboyz reserve although for now its the safe heaven for those guyz in Italy with no interference on Cow boyz interest...
Project TZ is long term business plan with proper handling to make sure never turn into new DRC but they can do what they want without barries.... to achieve what they want, they must control all political activities in both side ( ruling part and opposition)
 
Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Mambo mengine muwe mnanyamaza basi.

TZ ipigane na Rwanda kweli?. Si tutapiga nchi nzima kila kona na kila Raia tutampa ulinzi wa JW .
 
Kagame hana tofauti na Putin ni mashetani kabisa
 
Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Akili za kitoto...vita ni pesa. Katam’s Anayopesa ya kupigana vita kwa mwaka 1 bila ya Kuomba a pooo?
 
Sio rahisi, Rwanda wana intelligence madhubuti na iliyoenea sana East Africa. Kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na Rwanda na kutarajia kuwapiga kirahisi ni kujidanganya. Usiongopewe na udogo wa eneo lao.
Unaota wewe
Congo kukiwa na amani hata tanzania kutakuwa na amani
Uliza ndugu zako wa mipakani
 
Wanajeshi wa Tz wanafanya vizuri sana katika kupigana na hilo kundi linadaiwa ni la nchi jirani. Huenda hilo kundi linalipiza kama ule wakati wa JK. Ningefurahi kama hako kakikundi kangefutwa katika USO wa dunia. Ni waporaji wakubwa wa mali ya DRC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wenyewe wamezoea Vita waacheni wapambane siku akili zikiwarudi wataacha wanajeshi wa Tanzania warudi.
Tanzania JWTZ should take note.
Hao M23 ni jeshi la Rwanda, siyo wahuni.
Wahuni wanapata wapi vifaru na mizinga.
Kama mbwai iwe mbwai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…