Dream League Soccer Special Thread

Mkuu usitumie nguvu kubwa humu kila mtu najua kiwango chake we n next level NI vile watakaza Tu fuvu...
Angalau kidogo Eng ibird anaweza kukutambia kidogo.. sema itabidi mcheze Tu kumaliza ubishi
Huyo hawwzi kufua dafu kwangu Fene ndio aliyemuonea kwa visago vikali bila ushindi .
 
Ulivyomtaja Wakipekee katika list ya kujisifia basi andiko lako nimelidharau maana huyo ni miongoni mwa viande Wakuu humu.
 
Kijana [emoji23] nahis nitatafuta sehem yenye Network hata km n Bar niwe naenda Kwa Ajiri yenu dharau sipendi
 
Mkuu usitumie nguvu kubwa humu kila mtu najua kiwango chake we n next level NI vile watakaza Tu fuvu...
Angalau kidogo Eng ibird anaweza kukutambia kidogo.. sema itabidi mcheze Tu kumaliza ubishi
Naamin utajua Game kukubali Uwezo wa Mtu ni step ya kuimprove maana ukiwa unakataa utakuwa unacheza tu huna unalojifunza
 
guys mambo zenu..me mgeni wa hili gemu hakuna pa kulichezea offline kabla sijakua mzoefu..ninalo kny sim tayari
 
Code 777AF

Njoo ukiwa na akili zako timamu,
At your own risk
 
Ttz nakaa code inasearch muda mrefu hakuna mtu na mm nakuwa na arosto
 
Hamna mtu online ukiwa ok nijuze nikufundishe ball
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…