adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyomtaja Wakipekee katika list ya kujisifia basi andiko lako nimelidharau maana huyo ni miongoni mwa viande Wakuu humu.Mimi ndio master of tactics humu, adriz ukiacha unafki unaweza lithibitisha hili humu kwa wanasoka
Ni ngumu Fene ukamuingiza katika mfumo na akaganda kwa muda mrefu chap tu kashajizingua tofauti na ilivyo kwake akikuingiza katika mfumo utaomba haleluya
Wakipekee licha ya maneno yake anayoyatupa hadi leo hajawahi nifunga, adriz anaangaika kwa waganga na kila siku kudai wanamtapeli maana hata akipata dawa ikifanya kazi siku moja yanayofuata ni mateso
Amethubutu hadi kubadilisha jina eti maelekezo ya babu[emoji23][emoji23]
MrJobless baada ya kunifunga siku yake moja ndio inayompa jeuri siku iliyofuata alishindwa kunifunga tulitoka sare
Hii yote kuonesha Fene ni master of tactics ni ngumu kumuingiza katika mfumo
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hizi sasa dharau kwakweli duh[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Ulivyomtaja Wakipekee katika list ya kujisifia basi andiko lako nimelidharau maana huyo ni miongoni mwa viande Wakuu humu.
Kijana [emoji23] nahis nitatafuta sehem yenye Network hata km n Bar niwe naenda Kwa Ajiri yenu dharau sipendiMimi ndio master of tactics humu, adriz ukiacha unafki unaweza lithibitisha hili humu kwa wanasoka
Ni ngumu Fene ukamuingiza katika mfumo na akaganda kwa muda mrefu chap tu kashajizingua tofauti na ilivyo kwake akikuingiza katika mfumo utaomba haleluya
Wakipekee licha ya maneno yake anayoyatupa hadi leo hajawahi nifunga, adriz anaangaika kwa waganga na kila siku kudai wanamtapeli maana hata akipata dawa ikifanya kazi siku moja yanayofuata ni mateso
Amethubutu hadi kubadilisha jina eti maelekezo ya babu[emoji23][emoji23]
MrJobless baada ya kunifunga siku yake moja ndio inayompa jeuri siku iliyofuata alishindwa kunifunga tulitoka sare
Hii yote kuonesha Fene ni master of tactics ni ngumu kumuingiza katika mfumo
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Naamin utajua Game kukubali Uwezo wa Mtu ni step ya kuimprove maana ukiwa unakataa utakuwa unacheza tu huna unalojifunzaMkuu usitumie nguvu kubwa humu kila mtu najua kiwango chake we n next level NI vile watakaza Tu fuvu...
Angalau kidogo Eng ibird anaweza kukutambia kidogo.. sema itabidi mcheze Tu kumaliza ubishi
Naona anazingua [emoji1787] lakini ipo yake sikuHizi sasa dharau kwakweli duh[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kila nikiweka code kenge zinatoka unyoyaCode 777AF
Njoo ukiwa na akili zako timamu,
At your own risk
NjoAcheni woga,ukifungwa ndio kujifunza
Searching.... 777AFCode 777AF
Njoo ukiwa na akili zako timamu,
At your own risk
Umeingia mitiniAcheni woga,ukifungwa ndio kujifunza
Hamuonekani
Nmesubiri nkaona bora niwakande onlineUmeingia mitini
Umeona code nimeweka muda gan,Searching.... 777AF