Dream League Soccer Special Thread

Mrejesho @Frustation nimecheka nae gemu mbili matokeo hayo chini na siku yeyote alinifunga nabadili jina la ID niitwe Paka humu au Nyau shahid Moderator na wadau humu

Hii kajitahidi ona Ontarget 8 si mtu alikuwa anapigwa wiki huyu 😂😂😂😆
 
Kesho asubuhi nitarudisha goli zangu
Kupewa nakoz kila siku ni hatari kwa Afya huoni mwenzio Fene nimempa kichapo mechi za kulipa kisasi kasogeza mbele ameona kujioverdose vichapo ni hatari kwa Afya yake 😂😂😂😆
 
nitakuja hapa tena sasa 8 kamili na nitakaa kwa dkk kumi kusubiri kibonde yote humu atakayejitokeza.
[emoji23][emoji23][emoji23]jaman kwann tusifungue group hata la telegram humu tunapishana sana dream league online tamu sana hasa network ikiwa poa kama vp mmoja afungue then ashare link tujoin
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jaman kwann tusifungue group hata la telegram humu tunapishana sana dream league online tamu sana hasa network ikiwa poa kama vp mmoja afungue then ashare link tujoin
Njoo chap nakutafuta sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jaman kwann tusifungue group hata la telegram humu tunapishana sana dream league online tamu sana hasa network ikiwa poa kama vp mmoja afungue then ashare link tujoin
Kama upo tayari nikupe code now niendeleze rekodi ya kutoa vichapo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…