Dream League Soccer Special Thread

Umeona jinsi "Parching style " unavyofanya mpk umestaajabu jinsi magoli yanavyopatikana unapigwa kaunta ya ajabu na nilisema hii style hata mtu awe na wachezaji wenye nguvu kama Hulk watapigwa kama walevi [emoji23][emoji23][emoji23] Fene
Hao inavyoonesha vibonde kwel yani unawakung'uta unavyotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeweka halotel hapa vipi nirudishe magoli yangu?
Jamaa kujisifia kote dkk ya 17 kala kamba mbili sasa akaquit kuogopa aibu sasa comment yake inamfunga na tulicheza fresh 2 hakuna kisingizio mtandao haukukata karesume ikajikata hapo inashiria kukimbia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu uzi burudani kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka mwaka huu uanze sijawahi kucheka kama leo hii mechi na @Frustation hii wakati nacheza jinsi mtu anavyokula kichapo nikukumbuka ametoka kumuambia Nkulu wa nchito mbovu kupitiliza baada kumpa dozi nimecheka mno huku mechi inaendelea tena kwa sauti kubwa kama mwehu nusu nivunje simu na nikafikia hatua ya kucheka mpk kulala chini alivyoQUIT na kukimbia hapa nilipo tumbo linauma aisee !! 😂 😂 😆
Halafu nado hakomi namshauri kila siku acheze gemu la Sokoban au hata magari.
 
Kumbe nikikusambaratisha wewe tu moja kwa moja natangaza ufalme wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa amekimbia dkk ya 38 wakati huo goli 3 ontarget 7 alikuwa anapigwa nyingi kama 10 kwa uchache kipindi cha kwanza ila kaamua kuiepuka aibu 😂😂😂😆
 
Humu kuna wakina Mandonga wengi humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…