Dream League Soccer Special Thread

Newcastle ndio timu bora kabisa Tanzania ndani ya Jamiiforums

adriz kwisha habari yako

Rasmi mim ndie mfalme humu

Kiande wangu adriz ningekuomba nikufundishe soka ili nikupe cheo namba mbili humuView attachment 2348236
 
Yani ufungwe goli la pili dakika ya 85+ ndo upate emergency

Labda umuongopee mlevi
Wapi nimesema Dk 90 ?hizo hizo tano zinatosha mpk kupigwa 3 mechi haijaisha hiyo .
 
Nikukumbushe tu katika game sita za mwisho umeshinda mara mbili tu

Umeuwawa mara nne
 
Itabidi nianze kutumia version ya wanawake humu sasa wenda nikawapa nafasi hawa viande

Master Fene nimeleta amani sasa katika huu uzi maana kulikuwa na kelele za yule jamaa
 
Itabidi nianze kutumia version ya wanawake humu sasa wenda nikawapa nafasi hawa viande

Master Fene nimeleta amani sasa katika huu uzi maana kulikuwa na kelele za yule jamaaView attachment 2351343
Ushindi batili na unaogopa kumalizia mechi mpk siku kibao zimepita .

Mimi nakubali sio Master tena humu maana kwa uwezo wangu sasa hivi mimi ni The Great Master au GOAT wa humu.
 
Ushindi batili na unaogopa kumalizia mechi mpk siku kibao zimepita .

Mimi nakubali sio Master tena humu maana kwa uwezo wangu sasa hivi mimi ni The Great Master au GOAT wa humu.
[emoji23]
Game zako sita za mwisho umeshinda mara mbili tu mbele yangu umeuwawa mara nne

Eti GOAT

Tuongee kwa facts

Alafu unakimbia mechi[emoji23][emoji23]
 
[emoji23]
Game zako sita za mwisho umeshinda mara mbili tu mbele yangu umeuwawa mara nne

Eti GOAT

Tuongee kwa facts

Alafu unakimbia mechi[emoji23][emoji23]
Fact gani mimi gemu sita sijashinda mbili huo ni uongo wa dhahiri kwanza kumbukumbu zangu za haraka zinakataa hiyo rekodi nikianza kuhesabumechi zetu za hivi karibuni.

1.kwenye mechi mbili za ligi nimeshinda moja
2.Kwenye Challenge yetu ya mechi tatu nimeshinda moja .
3.Before hiyo challenge mechi ya mwisho nilikupiga 3-0 rekodi ambayo haijawahi kuivunja.

Sasa mbona unaongipea mashabiki dhahiri kabisa au haujiamini tunafosi rekodi za mchongo kama ushindi wa juzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…