Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Newcastle ndio timu bora kabisa Tanzania ndani ya Jamiiforums

adriz kwisha habari yako

Rasmi mim ndie mfalme humu

Kiande wangu adriz ningekuomba nikufundishe soka ili nikupe cheo namba mbili humuView attachment 2348236
Screenshot_20220906-230158_1.jpg
 
Yani ufungwe goli la pili dakika ya 85+ ndo upate emergency

Labda umuongopee mlevi
Wapi nimesema Dk 90 ?hizo hizo tano zinatosha mpk kupigwa 3 mechi haijaisha hiyo .
 
Wewe jamaa hauishiwi vituko mimi sijawahi kulalamikia wewe wala yeyote humu kuwa wachezaji wangu hawana power kwani nilisemaga kwa watu wa humu jinsi mlivyo viande hata wachezaji wawe na power kama Hulk kwangu hamtoboi labda ya kwenye ligi ndio niliolalamikia coz wale tukiacha power Wana kiwango tofauti na wewe.

Bali mimi nilikulaumu kuna na wa bluu bando upo level za kangaloo na @Frustation halafu unaonewa kwenye ligi ambapo mimi nikiwa nawachezaji kama wako sishikiki .
Nikukumbushe tu katika game sita za mwisho umeshinda mara mbili tu

Umeuwawa mara nne
 
Itabidi nianze kutumia version ya wanawake humu sasa wenda nikawapa nafasi hawa viande

Master Fene nimeleta amani sasa katika huu uzi maana kulikuwa na kelele za yule jamaa
Screenshot_20220830-202630_2.jpg
 
Itabidi nianze kutumia version ya wanawake humu sasa wenda nikawapa nafasi hawa viande

Master Fene nimeleta amani sasa katika huu uzi maana kulikuwa na kelele za yule jamaaView attachment 2351343
Ushindi batili na unaogopa kumalizia mechi mpk siku kibao zimepita .

Mimi nakubali sio Master tena humu maana kwa uwezo wangu sasa hivi mimi ni The Great Master au GOAT wa humu.
 
Ushindi batili na unaogopa kumalizia mechi mpk siku kibao zimepita .

Mimi nakubali sio Master tena humu maana kwa uwezo wangu sasa hivi mimi ni The Great Master au GOAT wa humu.
[emoji23]
Game zako sita za mwisho umeshinda mara mbili tu mbele yangu umeuwawa mara nne

Eti GOAT

Tuongee kwa facts

Alafu unakimbia mechi[emoji23][emoji23]
 
[emoji23]
Game zako sita za mwisho umeshinda mara mbili tu mbele yangu umeuwawa mara nne

Eti GOAT

Tuongee kwa facts

Alafu unakimbia mechi[emoji23][emoji23]
Fact gani mimi gemu sita sijashinda mbili huo ni uongo wa dhahiri kwanza kumbukumbu zangu za haraka zinakataa hiyo rekodi nikianza kuhesabumechi zetu za hivi karibuni.

1.kwenye mechi mbili za ligi nimeshinda moja
2.Kwenye Challenge yetu ya mechi tatu nimeshinda moja .
3.Before hiyo challenge mechi ya mwisho nilikupiga 3-0 rekodi ambayo haijawahi kuivunja.

Sasa mbona unaongipea mashabiki dhahiri kabisa au haujiamini tunafosi rekodi za mchongo kama ushindi wa juzi 😂😂😆
 
Back
Top Bottom