Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google play games download hiyo app kwenye playstorePoa ila naona umeifuta image hapo,Mimi kikosi changu cha Dream sitaki nikipoteze nataka likitokea lolote team yangu irudi maana DLS 2016/17/ nilikuwa na kikosi nilichokipenda kikapotea nilivyorestore.
Sasa hapo mm kwenye kikosi chako nina Fabihno, Van diyk, Neimar, Koulibaly na Chiesa kwa hiyo tuyafanana karibia wachezaji wote haipendeziKwa anayetaka battle kuanzia saa 3 usiku leo anitag tupimane ubavuView attachment 2283438
Ndio vizuri unamfundfisha mtu matumizi mazuri ya wachezaji kwanza Fabinho ,Chiesa na Neymar mara nyingi wanasugua kasoro kwenye beki Van Diyk na Kolibaly ndio panga pangua na ninatafuta beki wa Kati mwenye spidi kidogo kama Alaba coz wananigharimu nikikutana na watu wa kutumia kaunta onlineSasa hapo mm kwenye kikosi chako nina Fabihno, Van diyk, Neimar, Koulibaly na Chiesa kwa hiyo tuyafanana karibia wachezaji wote haipendezi
Ana kimbia mpinzani ila mm huwa siangalii kufungwa goli nyingi bali namna ninavyo dominate kati na kuutawala mchezoNi kweli lakini kipindi kile naicheza siku fahamu kama kuna option ya kucheza wawili kwa code
Me nilikuwa nacheza na online opponents halafu hakuna kitu kizuri kama unapo mpiga mtu goli 4 au 3 bila kwenye kipindi cha kwanza halafu anaquit [emoji23][emoji23][emoji23] raha sana
Kuna beki ya Juve pale ipo isajili ipo vizuri sana kwa sasaNdio vizuri unamfundfisha mtu matumizi mazuri ya wachezaji kwanza Fabinho ,Chiesa na Neymar mara nyingi wanasugua kasoro kwenye beki Van Diyk na Kolibaly ndio panga pangua na ninatafuta beki wa Kati mwenye spidi kidogo kama Alaba coz wananigharimu nikikutana na watu wa kutumia kaunta online
Kikosi kizuri ila unaweza shindwa kukipanga kiushindani na ukashindwa kukichezesha vizuri na hatimaye ukafungwa goli nyingiSasa hapo mm kwenye kikosi chako nina Fabihno, Van diyk, Neimar, Koulibaly na Chiesa kwa hiyo tuyafanana karibia wachezaji wote haipendezi
Ukidownload Google play game kwenye simu yako italazimisha kufungukia huko game zote related to google inc.Nielekeze jinsi ya kuconnect na gugo play games na jinsi ya kuichukua baada ya kuifuta kupitia hiyo gugo play game.
Pia unaweza kuconnect na fbNielekeze jinsi ya kuconnect na gugo play games na jinsi ya kuichukua baada ya kuifuta kupitia hiyo gugo play game.
Vipi leo utakuwa onlineKwa anayetaka battle kuanzia saa 3 usiku leo anitag tupimane ubavuView attachment 2283438
Inachezeka ila sio katika hali ya kawaida na hapo usiombe nusu fainali mnacheza na man uHivi mnawezaga kucheza kwenye hii hali ya snow mm imenishindaView attachment 2284647
Play store yako haina?Naweza kupata Link ya kuidownload hii game
Naweza kupata Download Dream League Soccer 2022 9.12 for Android - free - latest version ya kuidownload hii game
Ni offline au onlineDownload Dream League Soccer 2023 11.250 for Android - free - latest version
Download Dream League Soccer 2023 11.250 for Android now from Softonic: 100% safe and virus free. More than 4262 downloads this month. Download Dreamen.softonic.com
Offline kwa game ya kirafiki tu exhibition match. Ila online la hii ni tofauti na zingine mfano hili ukiingia tu zima data na cheza ila game ikiisha washa data na liki load tu unazima tena data unacheza. Data unatumia kidogo mfano mm nilikuwa ba mb 10 tu na nilicheza siku tano na mb zilibaki.Ni offline au online
Bando langu la mwezi limekata njiani sasa nipo utawala wa Freebasic natamani siku niplay na mwana Jf humu ila kila nikiwa tayari watu hawapo tayari.Vipi leo utakuwa online