Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Kwa anayetaka battle kuanzia saa 3 usiku leo anitag tupimane ubavu
Screenshot_20220707_101426.jpg
 
Poa ila naona umeifuta image hapo,Mimi kikosi changu cha Dream sitaki nikipoteze nataka likitokea lolote team yangu irudi maana DLS 2016/17/ nilikuwa na kikosi nilichokipenda kikapotea nilivyorestore.
Google play games download hiyo app kwenye playstore
 
Sasa hapo mm kwenye kikosi chako nina Fabihno, Van diyk, Neimar, Koulibaly na Chiesa kwa hiyo tuyafanana karibia wachezaji wote haipendezi
Ndio vizuri unamfundfisha mtu matumizi mazuri ya wachezaji kwanza Fabinho ,Chiesa na Neymar mara nyingi wanasugua kasoro kwenye beki Van Diyk na Kolibaly ndio panga pangua na ninatafuta beki wa Kati mwenye spidi kidogo kama Alaba coz wananigharimu nikikutana na watu wa kutumia kaunta online
 
Ni kweli lakini kipindi kile naicheza siku fahamu kama kuna option ya kucheza wawili kwa code
Me nilikuwa nacheza na online opponents halafu hakuna kitu kizuri kama unapo mpiga mtu goli 4 au 3 bila kwenye kipindi cha kwanza halafu anaquit [emoji23][emoji23][emoji23] raha sana
Ana kimbia mpinzani ila mm huwa siangalii kufungwa goli nyingi bali namna ninavyo dominate kati na kuutawala mchezo
 
Ndio vizuri unamfundfisha mtu matumizi mazuri ya wachezaji kwanza Fabinho ,Chiesa na Neymar mara nyingi wanasugua kasoro kwenye beki Van Diyk na Kolibaly ndio panga pangua na ninatafuta beki wa Kati mwenye spidi kidogo kama Alaba coz wananigharimu nikikutana na watu wa kutumia kaunta online
Kuna beki ya Juve pale ipo isajili ipo vizuri sana kwa sasa
 
Sasa hapo mm kwenye kikosi chako nina Fabihno, Van diyk, Neimar, Koulibaly na Chiesa kwa hiyo tuyafanana karibia wachezaji wote haipendezi
Kikosi kizuri ila unaweza shindwa kukipanga kiushindani na ukashindwa kukichezesha vizuri na hatimaye ukafungwa goli nyingi
 
Nielekeze jinsi ya kuconnect na gugo play games na jinsi ya kuichukua baada ya kuifuta kupitia hiyo gugo play game.
Ukidownload Google play game kwenye simu yako italazimisha kufungukia huko game zote related to google inc.
 
Hivi mnawezaga kucheza kwenye hii hali ya snow mm imenishinda
Screenshot_20220707-214811.png
 
Ni offline au online
Offline kwa game ya kirafiki tu exhibition match. Ila online la hii ni tofauti na zingine mfano hili ukiingia tu zima data na cheza ila game ikiisha washa data na liki load tu unazima tena data unacheza. Data unatumia kidogo mfano mm nilikuwa ba mb 10 tu na nilicheza siku tano na mb zilibaki.
 
Back
Top Bottom