Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Fene
Sasa kuna online event ya kutumia timu yako mimi nishamkalisha wa kwanza sasa nipo robo fainali
Screenshot_20220821_163126.jpg
Screenshot_20220821_163215.jpg
 
Bila ya shaka mpaka sasahiv ushanyakua ndoo, au?
Baadae na mim nikitulia itabid nikajiimarishe

Hiv ile online league ukipambana sana mwisho wako kufika daraja la ngap?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeyakanyanga nimekutana na mwamba anaitwa Xavi timu yake inaitwa Barcelona inapiga boli si la nchi hii kanipiga 4-0 hapa ndipo unaona umuhimu wa kujaza kikosi,Cheki possession ya kipindi cha kwanza tu
Screenshot_20220821_164147.jpg
 
Nimeyakanyanga nimekutana na mwamba anaitwa Xavi timu yake inaitwa Barcelona inapiga boli si la nchi hii kanipiga 4-0 hapa ndipo unaona umuhimu wa kujaza kikosi,Cheki possession ya kipindi cha kwanza tu View attachment 2330503
Siamini sijafika hata nusu final ulirudi tena after 3 days sitokubali nipigwe kizembe.
 
Nimeyakanyanga nimekutana na mwamba anaitwa Xavi timu yake inaitwa Barcelona inapiga boli si la nchi hii kanipiga 4-0 hapa ndipo unaona umuhimu wa kujaza kikosi,Cheki possession ya kipindi cha kwanza tu View attachment 2330503
[emoji23][emoji23]
Noma sana 20% kwa 80%

Jana kuna mwamba nilikutana nae aliposess 80 na ushee mi nikiwa na 10%+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mnyonge mnyonge yeyote anahisi kuchanggamka aje apashwe
 
Back
Top Bottom