adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
NjooAlie available sasahiv Nkulu wa nchito adriz and others aje nimuwashie moto, kikosi kimenolewa vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NjooAlie available sasahiv Nkulu wa nchito adriz and others aje nimuwashie moto, kikosi kimenolewa vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo
Nipo mimi
Upo ?Nipo mimi
Bila ya shaka mpaka sasahiv ushanyakua ndoo, au?Fene
Sasa kuna online event ya kutumia timu yako mimi nishamkalisha wa kwanza sasa nipo robo fainaliView attachment 2330423View attachment 2330424
Nimeyakanyanga nimekutana na mwamba anaitwa Xavi timu yake inaitwa Barcelona inapiga boli si la nchi hii kanipiga 4-0 hapa ndipo unaona umuhimu wa kujaza kikosi,Cheki possession ya kipindi cha kwanza tuBila ya shaka mpaka sasahiv ushanyakua ndoo, au?
Baadae na mim nikitulia itabid nikajiimarishe
Hiv ile online league ukipambana sana mwisho wako kufika daraja la ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini sijafika hata nusu final ulirudi tena after 3 days sitokubali nipigwe kizembe.Nimeyakanyanga nimekutana na mwamba anaitwa Xavi timu yake inaitwa Barcelona inapiga boli si la nchi hii kanipiga 4-0 hapa ndipo unaona umuhimu wa kujaza kikosi,Cheki possession ya kipindi cha kwanza tu View attachment 2330503
[emoji23][emoji23]Nimeyakanyanga nimekutana na mwamba anaitwa Xavi timu yake inaitwa Barcelona inapiga boli si la nchi hii kanipiga 4-0 hapa ndipo unaona umuhimu wa kujaza kikosi,Cheki possession ya kipindi cha kwanza tu View attachment 2330503
Nasubiri ije nyingine nimalizie hasira zangu .[emoji23][emoji23]
Noma sana 20% kwa 80%
Jana kuna mwamba nilikutana nae aliposess 80 na ushee mi nikiwa na 10%+
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri mtu hapaNasubiri ije nyingine nimalizie hasira zangu .
We kiande utamaliza nguvu zangu.Nasubiri mtu hapa
Nakutamani sana ww[emoji23][emoji23]
Noma sana 20% kwa 80%
Jana kuna mwamba nilikutana nae aliposess 80 na ushee mi nikiwa na 10%+
Sent using Jamii Forums mobile app
TwendeWe kiande utamaliza nguvu zangu.
Delle4Twende
Nakusubiri ww tu hukuDelle4
Nipost matokeo au nisi?Delle4