Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Tondoke tena, mtandao ulinizingua
Umekula sita ni historia hii kila siku huniwezi kea lolote na leo rasmi umekua kiande kama siku zote
Screenshot_20220831_001653.jpg
 
Twende yaani nikicheza na wewe najiamini kichizi sema kama unakuja .
Tumecheza mechi Nne leo na umeshinda moja haya Mr Fene kubali kuiita bingwa wako na kubali kuitwa kiande maana hakuna unachonizidi kuanzia sasa kama goli umekula 6

Bila wachezaji wa bluu wewe ni kangaloo aliyechangamka
 
[emoji23][emoji23]Sina maneno mengi brother

you deserve but for a while
Ulivyonipiga Nne nilipagawa nikasema dharau ziliniponza baada ya kushinda mechi mbili ushindi mkubwa nikamtoa Kante akaanza Guendoz .

Kelele za Nne zimefutika kwa 6 zangu la sivyo nisingekaa humu kelele kama zile tatu sasa nimekishona mdomo rasmi na sasa hivi wachezaji wangu watapata bluu kama wako nitakuwa sishikiki
kabisa
 
Tumecheza mechi Nne leo na umeshinda moja haya Mr Fene kubali kuiita bingwa wako na kubali kuitwa kiande maana hakuna unachonizidi kuanzia sasa kama goli umekula 6

Bila wachezaji wa bluu wewe ni kangaloo aliyechangamka
Hiz goli sita hata zisikuchanganye, tazama goal difference ni 3 tu coz ni 6 kwa 3 ni the same kama nilivyokufunga 4 kwa 1
 
Ah wap, ngoja nijipange kukupokonya mkanda
Ombaecho za kirafiki na kangaloo au Frustration ujifue kwanza maana hao kwa kiwango chako watakufaa huku ukimsubilia master

Kipigo ukitaka tena wewe nitag tu mimi sina hiyana kutoa dozi muda wowote maana hili jukwaa ninla kwangu napata hasira mtu kutamba humu nataka kusabisha kabisa kabla sijaenda kuConquer ligi baada ya kuUpdate players soon.
 
Ulivyonipiga Nne nilipagawa nikasema dharau ziliniponza baada ya kushinda mechi mbili ushindi mkubwa nikamtoa Kante akaanza Guendoz .

Kelele za Nne zimefutika kwa 6 zangu la sivyo nisingekaa humu kelele kama zile tatu sasa nimekishona mdomo rasmi na sasa hivi wachezaji wangu watapata bluu kama wako nitakuwa sishikiki
kabisa
Hivi huyu kante ana maajabu gani ktk hili game maana sijawahi kumtumia ila naona anapambwa kweli hivi yupo vip tactically?
 
Hiz goli sita hata zisikuchanganye, tazama goal difference ni 3 tu coz ni 6 kwa 3 ni the same kama nilivyokufunga 4 kwa 1
😂 😂 😂 Mbona ulivyonifunga tatu haukutazama na hilo ?hakuna cha GD sita aibu asikuambie mtu.

Halafu magoli yako mengi nilikua nakuachia kama ukichunguza hakuna la move ila unachukua miguuni mwa beki kisa kukaa na mpira au kuchoma niliofanya hivyo ili upate matumaini ufunguke na azma yangu ya kukupiga nyingi itimie.
 
Wewe lala na ushindi wa fene kwangu nitakupa tu stress adriz . Ile first half uliyokimbia kile sio kikosi changu cha kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]. Imagine
Huku nitaarifu nikaQuit coz nilikua nacheza na kibonde Fene ndio maana nikalegeza kikosi na wewe ukaingilia ila ukijivagaa yatakukuta ya Fene.

Poa siku nyingine usije kuniharibia mood ya ushindi maana kwa furaha ya goli 6 za nguvu ninaweza kucheza utumbo .
 
Hivi huyu kante ana maajabu gani ktk hili game maana sijawahi kumtumia ila naona anapambwa kweli hivi yupo vip tactically?
Yaani huyu ndio kama injini ya mashambulizi coz anauwezo mkubwa wa kubora mpira miguuni na speed ya kuwahi kunyakua .
 
Huku nitaarifu nikaQuit coz nilikua nacheza na kibonde Fene ndio maana nikalegeza kikosi na wewe ukaingilia ila ukijivagaa yatakukuta ya Fene.

Poa siku nyingine usije kuniharibia mood ya ushindi maana kwa furaha ya goli 6 za nguvu ninaweza kucheza utumbo .
Ukimfunga master fene goli 6 lazima ufurahi kama man city alivomfungaga man u 6 wakati ulee
Furahia ushind wako kwanguvu broh maana bahati hazijirudiagi
 
Nimefurahia kishona mdomo tu na ukiacha fujo ikiwa mtilivi kama Kangaloo nitakupa somo bure mbinu zote na haitokua kibonde tena we kubali kuwa chawa wangu maana kila siku wewe mnyonge mtu wa vichapo tu.
 
Hebu niwawekee mashabik zangu wasijue nilikuwa mnyonge kihivyo leo
Screenshot_20220830-235527_1.jpg
 
Nimefurahia kishona mdomo tu na ukiacha fujo ikiwa mtilivi kama Kangaloo nitakupa somo bure mbinu zote na haitokua kibonde tena we kubali kuwa chawa wangu maana kila siku wewe mnyonge mtu wa vichapo tu.
We kibonde umejifuafua kidogo?
 
Hebu niwawekee mashabik zangu wasijue nilikuwa mnyonge kihivyo leoView attachment 2340530
Ningekuwa mimi ndio wewe ningekimbilia jukwaa la upishi na nisingetokea humu kwa aibu kubwa yaani mechi Nne za jana

1. 3 -1 umelose
2. 3 - umelose
3. 1 - 4 umeshinda
4. 6- 3 umelose
Bado haujioni kibonde tu na Tutafute gemu lingine la kucheza au mpk upigwe heavy kingine hapo haijawahi kunizidi tokea unizidi siku ya kwanza sasa unawaambiaje mashabiki ? 😂😂😆
 
Back
Top Bottom