Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Nani aweke mguu nmfundishe kazi
Screenshot_2023-07-12-09-53-46-856_com.firsttouchgames.dls7.jpg
 
Wakuu vipi hapo kwenye Quality ni ipi Bora
 

Attachments

  • Screenshot_20231020-100944.jpg
    Screenshot_20231020-100944.jpg
    108.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20231020-094245.jpg
    Screenshot_20231020-094245.jpg
    160.1 KB · Views: 7
Soon nitarudi InshaAllah ndani ya mwezi wa 11 ,nina mzuka wa kutoa dozi humu maana naona toka muondoke watu wameanza kuota vitambi mpaka viande wanakuja kuomba mechi wakati enzi zangu wakikuta screenshots za vipigo ninavyotoa wanakula kona.
Au sio ss hv nawatafutia wachezaj wa Rating ndg
 
Back
Top Bottom