PLAN B VERYFIED
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 169
- 589
Code
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako unakosa uadilifu hauwi mkweli ndio maana wana hawakuamini ,Mimi hata nikifungwa nakuwa mkweli sina longolongo that's Maturity as Master ..adriz ushukuru mwaka huu nimeongezeka busara lasivyo ningewapanga wana humu kama jana nimekukaanga vibayavibaya game zote na mwenyew ukasema basi kwa leo inatosha
Sasa nasemaje kwa mfumo wangu mpya sidhani kama kuna siku tena utanifunga kwa total ya mechi zitakazo pigwa ,sevu huu ujumbe Mr Kiande maana rasmi sasa nakurudisha kwenye level yako ya ukiande baada ya Kuota kitambo na kujisahau.Tatizo lako unakosa uadilifu hauwi mkweli ndio maana wana hawakuamini ,Mimi hata nikifungwa nakuwa mkweli sina longolongo that's Maturity as Master ..
Weka kabisa gemu ngapi zimechezwa na matokeo ya kila mechi sio unachagua yanayofavour upande wako . Game zote wakati sare ilikuwepo na moja ya mwisho kama sikosei ndani ya dkk 20 za mwanzo ushakula chuma mbili na amechi inakuhelemea ilibidi kama ndogo upigwe 6 upande wako ikaonyeshwa umeQuit kumbe Simu ilipigwa.
Umemsahau hiyo ilikuwa mechi ya kwanza kama sikosei mechi nyingine zote umepata ushindi wa papatupapatu na mfumo huo mpya nishakuWin maana ndio umekufanha tuende mpk extra time mechi mbili mfululizo huku moja ukinusurika kupigwa wiki au 6 ?
Hakuna Koedi utakayopita halafu Master niwe sijapita ,Mimi sasa natafuta rekodi mpya ya 6-0 au wiki hiyo ishapitwa na enzi..Hii ni screenshot ya Jana usiku, nilikubonda kama mwendawazimu[emoji23][emoji23]View attachment 2896847
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kiande una matatizo sana, na bila ya shaka ni makusudi wajifanya kuchanganya mafaili, hii ulioniquote ni siku nyingine mzee hukuja kujibu hapa na kutaka ushahid ni zaid ya wik sasa, tazama tarehe kwanzaTatizo lako unakosa uadilifu hauwi mkweli ndio maana wana hawakuamini ,Mimi hata nikifungwa nakuwa mkweli sina longolongo that's Maturity as Master ..
Weka kabisa gemu ngapi zimechezwa na matokeo ya kila mechi sio unachagua yanayofavour upande wako . Game zote wakati sare ilikuwepo na moja ya mwisho kama sikosei ndani ya dkk 20 za mwanzo ushakula chuma mbili na amechi inakuhelemea ilibidi kama ndogo upigwe 6 upande wako ikaonyeshwa umeQuit kumbe Simu ilipigwa.
Umemsahau hiyo ilikuwa mechi ya kwanza kama sikosei mechi nyingine zote umepata ushindi wa papatupapatu na mfumo huo mpya nishakuWin maana ndio umekufanha tuende mpk extra time mechi mbili mfululizo huku moja ukinusurika kupigwa wiki au 6 ?
Poa nimeelewa, ila jua hivyo kuanzia sasa Zama zako zishapita kama stone age na unitaje kwa heshima kama Master mkubwa humu.Kiande una matatizo sana, na bila ya shaka ni makusudi wajifanya kuchanganya mafaili, hii ulioniquote ni siku nyingine mzee hukuja kujibu hapa na kutaka ushahid ni zaid ya wik sasa, tazama tarehe kwanza
Nakosa nguvu ya kuweka matokeo yote coz vipondo vimekuwa ving kwako hadi naona tabu sasa
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nipo muda huu,nani yupo online
Huyu penguin nimemkanda sanaaaaHii ni screenshot ya Jana usiku, nilikubonda kama mwendawazimu[emoji23][emoji23]View attachment 2896847
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wekeni code mkandwe
Weka code acha mbambambaKama mnajiweza kusanyikeni viande wote itengenezwe ligi ili nirahisishe kazi niwachape wote kwa wakati mmoja.
Acha uogaPambana na viande wa humu kwanza nithibitishe uwezo wako kabla ya kuja kwangu The Great master wa huu mchezo humu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu penguin nimemkanda sanaaaa
Hii Inchi Uhuru umezidi mpk Kiande anaropoka bila evidence kuwa amenifunga Mimi Master ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc: adriz
Mi napendekeza timu yake angeiita Punguani[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nachange name sasa naweka jipya la kutoa dozi Kali zaidi maana sasa naanza upya Leo jiandae .[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc: adriz
Mi napendekeza timu yake angeiita Punguani[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nachange name sasa naweka jipya la kutoa dozi Kali zaidi maana sasa naanza upya Leo jiandae .
Hapo ulipo una matumaini kibao eti utanifunga[emoji23][emoji23][emoji23]Nachange name sasa naweka jipya la kutoa dozi Kali zaidi maana sasa naanza upya Leo jiandae .
Nilimuonya mapema sana kijana akaja kirahisi ,soma jina langu jipya ndio uhalisia wangu sasa ni vipondo bila huruma nataka mkimbie humu maana mmeanza Kuota vitambi.Nachange name sasa naweka jipya la kutoa dozi Kali zaidi maana sasa naanza upya Leo jiandae .
Tatizo mnabaki kupepeta mdomo tu code hamuweki....wewe unayetumia name ya penguin nimekuchapa sana tu....weka code hata muda huuHii Inchi Uhuru umezidi mpk Kiande anaropoka bila evidence kuwa amenifunga Mimi Master ?
Naomba uwe refa achague siku ,muda na idadi za mechi nimfundishe adabu naona DullyJr anavuka mipaka sasa na viande wenzake wianza hivi hivi baadae wakakimbia huu Uzi.
Mimi ndio kiboko ya kuwakimbiza watu humu hapo kitambo walikuwa wengi nikatoa dozi Kali mpaka Uzi umetumia sasa wanaibuka wengine kwa vile kusafisha viande ndio kazi yangu basi sitokuwa na huruma kabisa.
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc: adriz
Mi napendekeza timu yake angeiita Punguani[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app