Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Una akili sana!! Zile zinaleta presa na kufanya jambo lionekane gumu kumbe ni simple pale kanisani au msikitini fasta tayar.Hivi mie sio mwanamke nini?mbona mambo mengi yanayosemekana yanapendwa na wanawake mie ni kinyume chake
Uzi mwingine ule wanasema wanawake wanapenda kifo cha mende,mie hata sio mdau wa kifo cha mende
Binafsi sipendi harusi wala harakati zake,ikitokea nikafunga ndoa mume wangu itabidi anielewe tu kwamba sitaweza zile harakati za kufanya party kuuuuuubwa
Kwanza ni heri tutoke kanisani turudi zetu nyumbani tukamalizane chumbani