Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa

Una akili sana!! Zile zinaleta presa na kufanya jambo lionekane gumu kumbe ni simple pale kanisani au msikitini fasta tayar.
 
Sisi wa miaka iyo wake walitumwa na basi toka vijijini jirani utakachopokea ndio mke na harusi teyari
 
Mshikaji aliandaa kiaparty kidogo cha ndoa cha watu 30 akafanyia open garden....wakaja shangazi zake toka kijijini kujazana waliambulia patupu
 
Wanasema ukitaka kununua gari mpya na kuifanya iwe yako ya kudumu basi hakikisha yule mmililki wa zamani aliyekutangulia hana funguo za akiba...

NB: Hii comment haina uhusiano na gari [emoji17]
Sasa hiyo sio gar mpya
Umemvua mtu
Wahuni wana chonga funguo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aisee tunafanana kabisa, Mi pia Zile massive Gathering siziwezi, The day ntaoa nadhani ntaita wale Close friends and relatives wachache sana ni wa host Dinner nkiwa na Mke wangu Over
 
Katika zama hizi za mabadiliko ya tabia ya nchi viumbe adimu Kama wewe vinapaswa kulindwa kwa wivu mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…