Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Unajua shida ni wanasiasa wetu wanajenga hulka ya kuchukiwa na watu wao bila sababu kwahiyo jambo lolote wanalolianzisha linapata upinzani toka kwa watu wanaoona wanatendewa vibaya

Mfano
Wewe unapiga siasa za majukwaani wenzio wakipiga nongwa

Unapenda kusifiwa kama mungu anaekukosoa pyu pyu pyu pyu

Huongezi watu mishahara yao wakati sio hisani ni takwa LA kisheria mbaya zaidi watu wanaona hilo basi ulonunua ni kwasababu huwapi stahiki zao unadhani watalipenda?

Mambo ni mengi kwahiyo acha watu wayabeze mafanikio hayo maana hayana maana kwao

Mbaya zaidi watu wakikosoa wanatendewa uhalifu hii si saws

Mtapata tabu sana
 
Mkuu ni kwasbb ya ugeni wa hiyo ndege bombardiers ni watu 76 lkn hakuna wateja mpk flight inaahirishwa itakuwa hiyo wa 200+
 
TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,

Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Toa ushauri, nini kifanyike ili hii ndege isilete hasara na ijiendeshe kwa faida? Tuliponunua ndege ndogo mlitubeza kuwa ni pangaboi, tumenunua kubwa mmasema litatia hasara, tusipomiliki kabisa ndege mnatucheka kwamba tumezidiwa na Rwanda wana ndege nyingi kuliko sisi,go f*ck u self!
 
"Ndege hii inatumia nishati ya umeme zaidi kuliko mafuta hivyo", Muberwa kupitia Azam TV.
Hahah, sasa huo umeme si unazalishwa na engine za ndege ambazo zinatumia mafuta, au Tanesco watafunga waya za umeme kwenye hiyo ndege iwe inaruka nazo angani? Aagh..., huyo jamaa kilaza mno!
 
Ni kama robo saa ila itabidi likageuzie South Sudan kuutafuta uwanja maana liki-takeoff Dar kabla halijakaa sawa linakuwa limeshapitiliza KIA.
Kweli? Ina maana haliwezi kuruka kwa robo saa na kutua?
 
TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,

Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Sizani Kama kuna kitu unakielewa kuhusi dreamliner. Bora ukae kimya tu mkuu.
Dreamliner inabeba watu 262. Nauli Dar to Mwanza ni approx 100000 one route.
262*100000=26,200,000/=. Inatumia dakika 50 mpaka Mwanza. Mafuta kwa saa moja inatumia ya shillingi milion 9 na usheee. Assume imetumia 9,500,000=
26,200,000-9,500,000=16,700,000/=
This is for one route and one hour. Hasara iko wapi hapo??
Sema wabongo kinachotukost ni upigaji hatutaki maendeleo?
 
Hakika mkuu.
 
Muda ni mwalimu mzuri katika hili.Tukifanya vizuri ni sisi na tukiharibu pia ni sisi.Japo inatakiwa kuwe na kuwajibishana pale tuliowapa dhamana yakupanga nakuchagua wanapotuchagulia wanavyovishindwa nakutuletea hasara.
 
Kijana ulishaona ndege kama fastjet imejaa inaelekea Mwanza au basi ngapi zinatoka dar kenda mwanza na abiria jumla ya basi zote wanafikia idadi gani ndio uje ujaze hilo dude watu 200 kwa siku moja
 
ATCL kesheni mukibuni mbinu ili Shirika menu lisimwangushe mwajili wenu. Heko JPM.
 
Duuuhhh
 
Hiyo dilimu laina haipiti huku huku gezaulole inipige company ntashika hata bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…