Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Unajua shida ni wanasiasa wetu wanajenga hulka ya kuchukiwa na watu wao bila sababu kwahiyo jambo lolote wanalolianzisha linapata upinzani toka kwa watu wanaoona wanatendewa vibayaInabidi somo la kujikubali na kujiamini na uzalendo lifundishwe mashuleni, maana kujidharau huku kunatia kinyaa, kwan lazima kila kitu kifeli ili tushangilie, yaan nyumba yetu wenyewe afu tunashangilia tukiskia vitu vinaharibika, this is stupid, mbona wenzetu mbele wanapenda vitu vyao, tuache negativity tunajimaliza wenyewe dah
Mfano
Wewe unapiga siasa za majukwaani wenzio wakipiga nongwa
Unapenda kusifiwa kama mungu anaekukosoa pyu pyu pyu pyu
Huongezi watu mishahara yao wakati sio hisani ni takwa LA kisheria mbaya zaidi watu wanaona hilo basi ulonunua ni kwasababu huwapi stahiki zao unadhani watalipenda?
Mambo ni mengi kwahiyo acha watu wayabeze mafanikio hayo maana hayana maana kwao
Mbaya zaidi watu wakikosoa wanatendewa uhalifu hii si saws
Mtapata tabu sana