Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Tatizo sio kujaa kwa siti au nini,hilo dege washasema masafa mafupi ni hasara tupu.
 
RwandAir has been loss-making for a number of years.alafu mnaiga watu hawawezi kuwaambia ukweli..hii biashara kichaa
 
Hujawah kufanya Biashara hata ya kuuza mayai wewe endelea kuogelea kwenye dimbwi na ujinga
ndivyo unavyojidaganya? pole sana MUNGU akusaidie ukue japo kwa kuwaheshimu watu na kuwa na uwezo wa kufikiri zaidi kabla hujawahukumu watu kwa vidole vyako.
 
Hamuwezi kuendesha hili shirika kwa faida kwa kutegemea mauzo ya ticket tu hasa tukianza route za kimataifa.

Gharama za kuhudumia ndege,mafuta, mishahara ya wafanyakazi, chakula kwa abiria, hoteli kwa abiria panapotokea matatizo, charge za kupaki/kutua katika viwanja vya ndege,kulipa mainjinia wa kuihudumia, n.k kamwe haviwezi kubebwa na mauzo ya ticket tu.

Wanaofanikiwa katika hii biashara hawategemei mauzo ya ticket tu vinginevyo mashirika mengi yasingekuwa yanatangaza hasara.

Pia, eleweni tu Bombardier zilizokuwa zinatumia hiyo route sasa zinakosa abiria na ni hasara kuzipaki kwa huo mwezi mzima.

Rohombaya na Wivu ndio vinakusumbua
 
Rohombaya na Wivu ndio vinakusumbua
Hizi ndege hazikununuliwa na CCM bali ni kodi zetu.Kama wewe akili yako ni kujipendekeza na kupiga makofi kwa kila jambo huo ni ulimbukeni wako na usitake kila mtu awe na huu uzuzu ulionao wewe.
 
Chuki haita kusaidia
kupinga kila kitu nako ni ujinga
Acha ujinga wako.

Mpaka sasa tunaambiwa bilioni 1495( takribani trilioni moja na nusu) imetumika kufufua hili shirika.

Jiulize mahesabu ya shirika yamewahi kutolewa?

Hata CAG katika ripoti zake aliongelea nini kinaendelea huko ATCL?

Wewe kama ni mnufaika wa huu utawala hiyo ni shauri yako.

Msitake tuwe na akili zinazofanana.
 
Hizi ndege hazikununuliwa na CCM bali ni kodi zetu.Kama wewe akili yako ni kujipendekeza na kupiga makofi kwa kila jambo huo ni ulimbukeni wako na usitake kila mtu awe na huu uzuzu ulionao wewe.
Utapata taabu sana wewe chadomo!
 
Acha ujinga wako.

Mpaka sasa tunaambiwa bilioni 1495( takribani trilioni moja na nusu) imetumika kufufua hili shirika.

Jiulize mahesabu ya shirika yamewahi kutolewa?

Hata CAG katika ripoti zake aliongelea nini kinaendelea huko ATCL?

Wewe kama ni mnufaika wa huu utawala hiyo ni shauri yako.

Msitake tuwe na akili zinazofanana.
Awamu hii utanyooka tu. Mara Dreamliner haitakuja sasa imekuja unaanza kusema tutaiendesha kwa hasara. Nani alikuambia biashara lazima muda wote inaendeshwa kwa faida tuuu??
 
TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,

Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Ndugu wenyewe hawawezi kukuelewa ni sawa sawa ns kununua Mercedes Benz brand new na model ya kisasa na kuifanya biashara ya Uber.
Mnunuzi ya hiyo ndege siyo mbaya japo imenunuliwa cash lakini walikuwa wawe wamesha jipanga linafanya safari zipi.
Sasa sisi siyo wanachama wa IATA sasa tunafanyaje safari za kimataifa? Maana hata hao ambao siyo IATA wana vyama vingine.
Sisi yetu macho na masikio tuendelee kuangalia hii movie.
 
ndivyo unavyojidaganya? pole sana MUNGU akusaidie ukue japo kwa kuwaheshimu watu na kuwa na uwezo wa kufikiri zaidi kabla hujawahukumu watu kwa vidole vyako.

Biashara ya ndege ni hasara90% kwa Tanzania ni hasara zaidi mana atcl haina hata business plan so far poor you
 
Back
Top Bottom