kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nasubiri zitto kabwe aseme!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaaMi nasubiria kauli kama hii
"Hili nalo lifungwe tela ili kuwahisha wananchi mikoani" Kangi.
ndivyo unavyojidaganya? pole sana MUNGU akusaidie ukue japo kwa kuwaheshimu watu na kuwa na uwezo wa kufikiri zaidi kabla hujawahukumu watu kwa vidole vyako.Hujawah kufanya Biashara hata ya kuuza mayai wewe endelea kuogelea kwenye dimbwi na ujinga
Asee nikalale tuuKama tiket zimeisha si wasimamishe abaria? Ngoma ishone hadi vyooni[emoji41]
Hamuwezi kuendesha hili shirika kwa faida kwa kutegemea mauzo ya ticket tu hasa tukianza route za kimataifa.
Gharama za kuhudumia ndege,mafuta, mishahara ya wafanyakazi, chakula kwa abiria, hoteli kwa abiria panapotokea matatizo, charge za kupaki/kutua katika viwanja vya ndege,kulipa mainjinia wa kuihudumia, n.k kamwe haviwezi kubebwa na mauzo ya ticket tu.
Wanaofanikiwa katika hii biashara hawategemei mauzo ya ticket tu vinginevyo mashirika mengi yasingekuwa yanatangaza hasara.
Pia, eleweni tu Bombardier zilizokuwa zinatumia hiyo route sasa zinakosa abiria na ni hasara kuzipaki kwa huo mwezi mzima.
Hizi ndege hazikununuliwa na CCM bali ni kodi zetu.Kama wewe akili yako ni kujipendekeza na kupiga makofi kwa kila jambo huo ni ulimbukeni wako na usitake kila mtu awe na huu uzuzu ulionao wewe.Rohombaya na Wivu ndio vinakusumbua
Chuki haita kusaidiaHizi ndege hazikununuliwa na CCM bali ni kodi zetu.Kama wewe akili yako ni kujipendekeza na kupiga makofi kwa kila jambo huo ni ulimbukeni wako na usitake kila mtu awe na huu uzuzu ulionao wewe.
Acha ujinga wako.Chuki haita kusaidia
kupinga kila kitu nako ni ujinga
Utapata taabu sana wewe chadomo!Hizi ndege hazikununuliwa na CCM bali ni kodi zetu.Kama wewe akili yako ni kujipendekeza na kupiga makofi kwa kila jambo huo ni ulimbukeni wako na usitake kila mtu awe na huu uzuzu ulionao wewe.
Awamu hii utanyooka tu. Mara Dreamliner haitakuja sasa imekuja unaanza kusema tutaiendesha kwa hasara. Nani alikuambia biashara lazima muda wote inaendeshwa kwa faida tuuu??Acha ujinga wako.
Mpaka sasa tunaambiwa bilioni 1495( takribani trilioni moja na nusu) imetumika kufufua hili shirika.
Jiulize mahesabu ya shirika yamewahi kutolewa?
Hata CAG katika ripoti zake aliongelea nini kinaendelea huko ATCL?
Wewe kama ni mnufaika wa huu utawala hiyo ni shauri yako.
Msitake tuwe na akili zinazofanana.
Nahisi labda,sababu malalamiko huwa hayajengi.Atcl mtu akiandika malalamiko kwenye page zao hawamjibu lakini wakisifia fasta wanajibu
Sijui wakoje hawa jamaa!
Ndugu wenyewe hawawezi kukuelewa ni sawa sawa ns kununua Mercedes Benz brand new na model ya kisasa na kuifanya biashara ya Uber.TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,
Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
30minSafi sana,nakumbuka Mwz-Dar kwa Bombadier ni kama saa 1.45 hivi,kwa hilo mashine itachukua muda gani..?
Pax handling na Cargo kwa ufupi ground handlingKwa hiyo kama si mauzo ya tiketi hayo madude huwa yanatumika kufanya biashara gani nyingine? Kupigia picha ama?
Charity business?Mkuu watanzania ndivyo tulivyo... mimi. natamani bei ziwe affordable na endelevu na si kukomoana... wote tufurahie mema ya nchi!!
Achana naye huyu Salary Slip . Ndio alivyo hivyo.Chuki haita kusaidia
kupinga kila kitu nako ni ujinga
ndivyo unavyojidaganya? pole sana MUNGU akusaidie ukue japo kwa kuwaheshimu watu na kuwa na uwezo wa kufikiri zaidi kabla hujawahukumu watu kwa vidole vyako.