monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,778
Kweli?113000/=
seriously?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli?113000/=
Mkuu, Umewaza nje ya box, kuna haja ya kujiuliza kwenye hili.Hamuwezi kuendesha hili shirika kwa faida kwa kutegemea mauzo ya ticket tu hasa tukianza route za kimataifa.
Gharama za kuhudumia ndege,mafuta, mishahara ya wafanyakazi, chakula kwa abiria, hoteli kwa abiria panapotokea matatizo, charge za kupaki/kutua katika viwanja vya ndege,kulipa mainjinia wa kuihudumia, n.k kamwe haviwezi kubebwa na mauzo ya ticket tu.
Wanaofanikiwa katika hii biashara hawategemei mauzo ya ticket tu vinginevyo mashirika mengi yasingekuwa yanatangaza hasara.
Pia, eleweni tu Bombardier zilizokuwa zinatumia hiyo route sasa zinakosa abiria na ni hasara kuzipaki kwa huo mwezi mzima.
Kwa staili ya uulizaji swali, unategemea upate majibu mujarabu kweli...! Jambo inawezekana hulijui...na utaka kujua...unachanganya humo humo, kebehi, dharau, majivuno nakadhalika kwenye swali!!! Hapa unategemea nini, kama siyo 'kuchafua' hali ya hewa jukwaani.......au Tanesco watafunga waya za umeme kwenye hiyo ndege iwe inaruka nazo angani? Aagh..., huyo jamaa .....mno!
Kwani Chadema ndiyo waliua shirika, au unawaza kwa kutumia masaburi.Hii ni aibu kubwa sana kwa chadema
Hatari kubwa kwa kilaza ni kutojua kwamba ni kilaza, hivyo ni lazima azodolewe ipasavyo ili siku nyingine atafakari kabla ya kuropoka. Sasa nikuulize wewe swali,Kwa staili ya uulizaji swali, unategemea upate majibu mujarabu kweli...! Jambo inawezekana hulijui...na utaka kujua...unachanganya humo humo, kebehi, dharau, majivuno nakadhalika kwenye swali!!! Hapa unategemea nini, kama siyo 'kuchafua' hali ya hewa jukwaani.
Hivi, Mkuu, ni kweli umeshindwa kuuliza swali kirahisi na kwa staha juu ya suala hili na ukapewa jibu sahihi na la kina? Mfano, ungeweza kuuliza hivi" Ebu nifafanulie kwa kina namna ndege hii inavyotumia mafuta kidogo na huku umeme mwingi, na chanzo cha umeme huo ni kipi !?" Kwa vyovyote vile wataalamu wange'tiririka' majibu ya kutosha na ya kina. Ila kwa staili ya uulizaji swali lako...hakuna mtaalamu atajitokeza. Au umeuliza swali hilo makusudi ili watu hapa jukwaani wasifaidi elimu hiyo ya namna ndege hii inavyotumia nishati ya umeme na mafuta kwa pamoja...!? Maana, fitina zina sura nyingi siku hizi.
Ndio siasa za nchi kwa sasa!Atcl mtu akiandika malalamiko kwenye page zao hawamjibu lakini wakisifia fasta wanajibu
Sijui wakoje hawa jamaa!
Mkuu Dudus! Nafikiri tunakubaliana kwamba kurusha Dreamliner kwenda Mwanza "it does not make any sense". Hebu fikiria Capt kabla hajamaliza take off checklist anaanza kuaanda landing checklist. Halafu "promotional fares" ni hasara kwa shirika. Tujifunze kutoka ATC ya zamani. Walikuwa na Boeing 737 ilikuwa inatoka Dar kwenda KIA kupitia Zanzibar. Matokeo yake Boeing ilikuwa inaruka hardly 5000m inaanza kutua Zanzibar ambayo ni hasara kwa shirika.Kunyanyua hilo dege from Dar na kutua KIA au MWZ ni matumizi mabaya ya resources; inabidi likageuzie South Sudan kuitafuta runway. Dude ambalo uwezo wake wa "wese" ni lita 126,210 yaani zile semi-trailer tanker za mafuta zinamimina mle 3 na bado halijai. Sio mchezo.
Kama huelewi kukaa kimya nalo jibuKunyanyua hilo dege from Dar na kutua KIA au MWZ ni matumizi mabaya ya resources; inabidi likageuzie South Sudan kuitafuta runway. Dude ambalo uwezo wake wa "wese" ni lita 126,210 yaani zile semi-trailer tanker za mafuta zinamimina mle 3 na bado halijai. Sio mchezo.
Tembea kifua mbele kikipasuka utatanguliza makalio.Hongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.
Utatembea kifua mbele kwa sababu ya Dreamliner, kweli wabongo ni tatizoHongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.
JF kuna vichwaNi kama robo saa ila itabidi likageuzie South Sudan kuutafuta uwanja maana liki-takeoff Dar kabla halijakaa sawa linakuwa limeshapitiliza KIA.
Humo lazima mr misifa Zitto atakuwa wa kwanza kupanda ili apate la kupotoshaNdege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera sana Rais Magufuli kwa kufikiria madude kama haya.
View attachment 807780
Imeshasemwa wazi kuwa, mipango ni kuifanya Dreamliner iende Guangzhou (China), Bangkok (Thailand) na Mumbai (India). Kuna mambo ya vibali, kujitangaza na logistics kwa ujumla. Ndiyo maana inaanza hapa Bongo Viwanja vya KIA na Mwanza.Mkuu Dudus! Nafikiri tunakubaliana kwamba kurusha Dreamliner kwenda Mwanza "it does not make any sense". Hebu fikiria Capt kabla hajamaliza take off checklist anaanza kuaanda landing checklist. Halafu "promotional fares" ni hasara kwa shirika. Tujifunze kutoka ATC ya zamani. Walikuwa na Boeing 737 ilikuwa inatoka Dar kwenda KIA kupitia Zanzibar. Matokeo yake Boeing ilikuwa inaruka hardly 5000m inaanza kutua Zanzibar ambayo ni hasara kwa shirika.
Kama tuna nia ya dhati DAR - BEIJING ROUTE inaweza kulipa kidogo kwa kuwa "middle class" ya China inakuwa haraka sana na Serikali hao inawahimiza wananchi wake kwenda kutalii nje ya China.
Runway ya Mwanza ni nzuri sana na of course ndiyo ndefu kuliko runways zote hapa Tanzania.Kinachonifikirisha ni runway ya mwanza na uwezo wa uwanja mwanza kuhandle abiria na ndege yenyewe kwa wakati mmoja.