Kwakweli hii ni aibu kwa marekani wanaojiona Superpower kumbe ni Superpower ya mchongo tu na propaganda[emoji23][emoji23]
Ndege ya kivita ya Urusi Su-27 ilipaa angani na kuimwagia mafuta drone ya kivita ya Marekani MQ-9 Reaper na drone hiyo iliangukia kwenye maji.
Marekani inapinga drone hiyo kuchukuliwa na Urusi wakati huo haijulikani drone hiyo iko wapi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani ni mafuta tu ilimwagiwa na ikapoteza muelekeo bila hata kudunguliwa.
Ndo maana waliogopa kupelekwa silaha wanazojitapaga kuwa ni nzuri kule Ukraine wakijua ni za mchongo tu na watazidi kuaibika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waliombwa F-16 wakaingia mitini[emoji23][emoji23]
Wakaombwa vifaru bora wakaingia mitini[emoji23][emoji23]
Wakaombwa makombora wakaingia mitini[emoji23][emoji23]
Wakaombwa F-35 wakawa wakali kama embe ngwangwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Badala yake wapo tayari waziombe nchi nyingine zipeleke silaha kwa mbadala wa kupeleka zao na hyo nchi itapewa pesa kuliko wapeleke zao kuhofia wataaibika
Hadi zelensky analia lia tu na kusema kwanini hapelekewi anachoomba..Eti drone imepulizwa na mafuta ya ndege tu yakaidondokea tayari ishapoteza muelekeo bila kudunguliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku wamarekani weusi wa jf wakizisifia hizo drone kuwa ni bora zaidi duniani[emoji23][emoji23][emoji23]