Drones ni game changer kwenye vita

Nadhan akifufuka atajiona fala sana mana wenzake wanapambana kwa teknolojia rahisi, hvy akae huko huko
 
Zilikuwa vurugu mkuu,

hahahaha ila watu wa zamani bwana sijui ujasili walitoa wapi yani makaburi mengi ya wanajeshi wa ww1 na 2 unakuta kijamaa kilikufa kina miaka 21 kikiwa private jeshini,sasa kwa makadirio si kilianza kazi jeshini kina miaka 17,
 
Nadhan akifufuka atajiona fala sana mana wenzake wanapambana kwa teknolojia rahisi, hvy akae huko huko

hapana mkuu[emoji23] hawezi kujiona fala,mabomu yake yalikuwa heavy sana aise hivi vya sasa vi drones kama umewahi kuona video vikishambulia huwa vinalipua sehemu ndogo sana tena unakuta ni vitano au sita sasaa bomu la Hitler moja tu linalipua umbali mkubwa
hivi vi drones ndio NATO walivitumia kwenye msafara wa colonel Gaddafi havikulipua gari ya gaddafi iliyokua ni armored licha ya kuwa wali target kabisa gari zililipuka za karibu tu chache
 
Umesema mturuki kwa sasa ndio mbabe wa drone anazitengeneza mwenyewe ama anaimport kutoka US na kwingineko
 
Uturuki alimtesa hata Russia kule Syria na hizo drones.

Hivi hapa A/Mashariki kuna nchi zinajua kucheza na hayo madude.?
Hakuna wa kumtesa Mrusi ndugu iyo ni ndoto ya mchana kweupe.majeshi ya Assad yaliendelea kuteka maeneo zaidi kwenye jimbo la Idlib hata baada ya Uturuki kupeleka jeshi kuwasaidia Waasi.
 
Zinatumia GPS na duniani ni United States (GPS), Russia (GLONASS) na China (Beidou) ... EU nao sijui kama wameshamaliza GALILEO.
Turkey hawana GPS yao wenyewe kwa hiyo Marekani akiamua kuirekebisha kidogo tu, drones zinakuwa vlueless .
Just thinking loud.
 
Umesema mturuki kwa sasa ndio mbabe wa drone anazitengeneza mwenyewe ama anaimport kutoka US na kwingineko
Uturuki ni kati ya watengenezaji wakibwa wa drone duniani.
 
ni vifaa kwa ajili ya majeshi ya UVAMIZI sio ulinzi, na wakisha vamia wanahitaji kuweka wasimamizi katika maeneo waliovamia na kushinda hapo bado utahitaji uwepo wa watu , askari jeshi na polisi, ndio kazi (vita ya panga na bunduki) inaanza upya.
Syria drone zilifanya kazi lakisni mwisho wa siku wakashindwa kwenda kuyatawala maeneo waliyoyapiga na kuyateka, Asadi akarudi taratibu na kuweka utawala wake kama kawaida
 
Humjui jiwe vzr jamaa ni show off mmoja matata yaan hakuna mfano ndege ikija na sherehe juu

[emoji23]jiwe ana sifa nyingi sana, ila yapo machache ninakubaliana nae hasa kwenye sekta ya usafiri
 
upo sahihi sana kwa ulivomjibu jamaa,ila pia kuna umuhimu nchi kuwekeza katika teknolojia ili tutengeneze vya kwetu,unajua vifaru tunavyonunua kwa wazungu tunapigwa bei kubwa sana kulinganisha na kama tungetengeneza sisi ?
Hao wa kutengeneze wako wap sasa.? Labla n kweli tunaweza kutengeneze lkn je n kwa ubora upi.?
 
Hao wa kutengeneze wako wap sasa.? Labla n kweli tunaweza kutengeneze lkn je n kwa ubora upi.?

mkuu, Veta huko kuna vichwa sana ni basi tu havipati support ukijaribu kutembelea youtube utaona vipaji tulivyonavyo, watatengeneza kwa ubora mkubwa endapo serikali itaomba baadhi ya wataalamu wa nje kwa mfano upandikizaji wa figo serikali ilifuata wataalamu nje wawafundishe hawa wetu wa ndani na sasa wa ndani wanapandikiza wenyewe
tukiamua tunaweza
 
Mambo Kama haya unayapata National Geographic Channel Yan hapo Kuna mastori matamu Sana kuhusu hizi mambo
 
Africa nzima at once? Wacha wee!🤣🤣🤣
 
Veta wanacopy technologia youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…