siku hizi hakuna vita, vita zilikuwa ni ww1 na 2 basi. mjerumani alitengeneza u-bot na vifaru vya hatari zile ndizo vita sasa acha hizi za sasa mnzoita vita eti ndege hazina rubani,mjapan aliunda jeshi la kujitoa muhanga la ma pilot walikuwa wanarusha ndege then wanaidondosha kwenye meli vita ya maadui
hizi za sasa ni utopolo sio vita, akifufuka Hitler aambiwe hizi drone ni vifaa hatari vya kivita hatowaelewa kabisa wakati yeye alitengeneza mabomo mazito mpaka yanashindwa kuruka yanatua chini yanauwa waliotengeneza