Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku.

Simba SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi
β€’ ES Tunis πŸ‡ΉπŸ‡³
β€’ Mamelodi Sundowns πŸ‡ΏπŸ‡¦
β€’ Wydad Club Athletic πŸ‡²πŸ‡¦

Yanga SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya
β€’ A = USM Alger πŸ‡©πŸ‡Ώ
β€’ B = Rivers United πŸ‡³πŸ‡¬
β€’ C = Pyramids FC πŸ‡ͺπŸ‡¬

Unatamani timu yako ikutane na nani?

Mnaiona nusu fainali?


UPDATES ZA Simba SC
Simba yapangwa kukipiga na Wydad Casablanca ya Morocco Simba itaanzia nyumbani.

Updates za Ligi ya Mabingwa kwa ujumla

Picha: Droo nzima ya Ligi ya Mabingwa



Picha: Namna nusu fainali mpaka fainali itakavyochezwa

UPDATES ZA Yanga SC
Yanga yapangwa kukipiga na Rivers United ya Nigeria

Updates za Shirikisho kwa ujumla


Picha: Droo nzima ya Robo fainali


Picha: Utaratibu wa Robo fainali na nusu fainali
 
Simba wakipewa ES Tunis wanapigwa total 4+ njee ndani ..wakipewa Mamelodi Sundowns wanapigwa 6+ njee ndani..wakipewa Wydad Club Athletic wanapigwa 7+ ...

Uchaguzi ni wao kupelekewa moto aku kwepeki .[emoji91][emoji91]
 
Simba wakipiwa ES Tunis wanapigwa total 4+ njee ndani ..wakipewa Mamelodi Sundowns wanapigwa 6+ njee ndani..wakipewa Wydad Club Athletic wanapigwa 7+ ...

Uchaguzi ni wao kupelekewa moto aku kwepeki .[emoji91][emoji91]
Umeona kama Mimi, ila hapo Kwa mamelodi umebugi kidogo, ni 9+ nje ndani[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…