Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Nendeni kichwakichwa mkashangazwe.

Yaleyale ya kusema KizerChiefs wana team mbovu kisa wanashika nafasi ya saba kwenye ligo yao.
Usifafanishe ya Simba na Kaizer na ya Rivers na Uto...

Uto. waliofungwa na Rivers kipindi kile sio Uto...hii ya sasa, Sasa Uto wana timu nzuri Sana....

Safari ya Uto...kuelekea nusu fainali ipo wazi kabisa....labda bundi aingie.
 
Hawa Yanga walivyo dondocha watapigwa na hawa viwete toka Nigeria
 
Usifafanishe ya Simba na Kaizer na ya Rivers na Uto...

Uto. waliofungwa na Rivers kipindi kile sio Uto...hii ya sasa, Sasa Uto wana timu nzuri Sana....

Safari ya Uto...kuelekea nusu fainali ipo wazi kabisa....labda bundi aingie.
Hapa ndipo hufanya niwaombee mabaya yanga....

Yanga na River united kipindi kile walifanya uzembe mwingi...

Na jua hata safar hii watarud huku home mkia nyuma kama Mbwa Koko...
Alie kula mayai ya wizi🤣🤣🤣😂😂
 
Ingia YouTube google finally ya Africa [emoji288] cup of nations

Moja ya
Case study
Ivory coast vs Egypt

Dider drogba alikosa goli la wazi ule mpira hata wew usinge upaisha...

Ushirikina upo sana
Kumbe kupaisha mpira ni ushirikina sikuhizi?

Hakuna hata haja ya kusearch youtube kitu kama hicho ambacho ni cha kawaida kabisa kwenye mpira, wiki iliyopita kule italy (Inter Vs Fiorentina) Lukaku alikosa goli ambalo hata ungekuwa wewe ungefunga, nao ulikuwa ni ushirikina?
 
Kuanzia leo hii hadi pale nitakapojisikia Kuacha GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mshabiki Mkuu wa Timu Bingwa, Imara na Kabambe ya River United FC.

Tutaelewana kuanzia sasa mtakoma!
Kiapo chako hujasema kama una akili timamu au nusu kaputi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…