Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Mimi ni shabiki wa Simba ila Haki ya mungu tukipangwa na hiyo Wydad casablanca basi ndo safar yetu imeishia hapo yani ***** haturambi hata Milion Tano, na hata kam Rais akisema kila kona mnapewa milion 5 bado hatutoramba hata Moja.

Ngoja niingie kwnye mfungo wa nusu saa hapa wa kuomba hicho kikombe cha Wydad kituepuke Yarabi. SIMBA NGUVU MOJA
 
4CF097AC-0906-4DA3-B9CA-65C283F17CB4.jpeg
 
Bwawa la ndumba lipo 9ja
Ila
Yanga Ina wa congoman wengi wanajua sana izo mambo...
Nakumbukaga ile mechi....lili letwa sinia jipya yakamiminwa maji likawekwa KOMBE (Kisomo)

Then Kila mchezaji akiwa ametoka kuoga msafi tena usiku Moja kabla ya mechi hurusiwi kuchakata mbususu a. k.a papuchi
Tulijipaka Yale maji YENYE KOMBE timu nzima
Tukiwa ingia uwanjani ni ushindi kwenda mbele.....
Mpira hauna ushirikiana, nendeni mkapambane uwanjani.

Tukirudi kwenye point yako ya kujaribu kulinganisha Congo na Nigeria kiushirikina, nadhani utakuwa unatania.
 
Mpira hauna ushirikiana, nendeni mkapambane uwanjani.

Tukirudi kwenye point yako ya kujaribu kulinganisha Congo na Nigeria kiushirikina, nadhani utakuwa unatania.
Ingia YouTube google finally ya Africa 🌍 cup of nations

Moja ya
Case study
Ivory coast vs Egypt

Dider drogba alikosa goli la wazi ule mpira hata wew usinge upaisha...

Ushirikina upo sana
 
Back
Top Bottom