Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
We jamaa nitabirie kazi yangu mwakaniSimba vs Wydad
Rivers United vs Yanga
Hahahah Safar yao wachoma Moto imeishia hapa asanteni Kwa kushirikiSimba sc vs wydad ac
Nimekunukuu,Mpira hauna ushirikiana, nendeni mkapambane uwanjani.
Tukirudi kwenye point yako ya kujaribu kulinganisha Congo na Nigeria kiushirikina, nadhani utakuwa unatania.
TayariHatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.
Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati ya timu hizo tatu ndio ambayo sio ya kiarabu.
Wengi wanatamani kuona mechi ya Simba vs Mamelod ila kwa mimi naombea Simba ipangiwe Wydad Casablanca kwenye mechi ya robo fainali.
Usiogope mkuuDah my simba
AahhaahaWydad tenaView attachment 2577828
Ni mashabiki wenzako wachache sana ndiyo wataelewa hiki ulichoandika hapa.Nadhani safari yetu itakuwa imeishia hapo.
UlioteaHatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.
Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati ya timu hizo tatu ndio ambayo sio ya kiarabu.
Wengi wanatamani kuona mechi ya Simba vs Mamelod ila kwa mimi naombea Simba ipangiwe Wydad Casablanca kwenye mechi ya robo fainali.
Hapo Morocco pamekuwa pagumu sana kwa Mnyama msimu huu, tena uwanja ule ule...Aloo Wydad anatafuta nini hapo?