Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Mpira hauna ushirikiana, nendeni mkapambane uwanjani.

Tukirudi kwenye point yako ya kujaribu kulinganisha Congo na Nigeria kiushirikina, nadhani utakuwa unatania.
Nimekunukuu,
"Tukirudi kwenye point yako ya kujaribu kulinganisha Congo na Nigeria kiushirikina, nadhani utakuwa unatania"

NAOMBA UFAFANUZI KWA HOJA YAKO HAPO JUU KAMA HAUTOJALI??
 
Wydad tena
17F80D5A-C8D3-4D64-AC72-FB77EACCEA10.jpeg
 
Hatua ya makundi ya klabu bingwa Africa imetamatika, hivyo kinachofuata ni draw ya robo fainali itakayoenda hadi fainali.

Simba inawashindani watatu ambao wanaweza kupangwa nao. Timu moja tu kati ya timu hizo tatu ndio ambayo sio ya kiarabu.

Wengi wanatamani kuona mechi ya Simba vs Mamelod ila kwa mimi naombea Simba ipangiwe Wydad Casablanca kwenye mechi ya robo fainali.
Tayari
 
Uliotea
 
Back
Top Bottom