Ila tutapambanaSimba sc vs wydad ac
Hawa ni wakubwa wenzetu. Hawa mpwayungu wydad tutauaHaya sasa janjajanja hapo hamna wajukuu wa mtume hao hata mkiota moto katikati ya uwanja lazima mpigwe.
Dawa ni kuhakikisha timu yenu inashinda kwa Mkapa, kwa goli nyingi.Hapo Morocco pamekuwa pagumu sana kwa Mnyama msimu huu, tena uwanja ule ule...
Kazi ipo ila hauwezi kuwa bingwa bila wapiga watu kama hao, tufanye maajabu kwa MkapaThis burden is too heavy to carry
Hao tukiwafunga goli 2 bila, tukifika kwao tukaze tufungwe hata goli 1 tu, hapo tutakuwa tumetoboaHapo Morocco pamekuwa pagumu sana kwa Mnyama msimu huu, tena uwanja ule ule...
AhahahahahWydad umekiwisha babaaaaaaa,nlkuwa nakutaka sana wydad babaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Goli nyingi ni ngapi ?Dawa ni kuhakikisha timu yenu inashinda kwa Mkapa, kwa goli nyingi.