Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Huo mchezo hautakuwa na mbio nyingi kwasababu muda wote tutakuwa kwenye eneo letu
Tutaruhusu kushambuliwa sana kama approach itakuwa ni kujilinda zaidi au unamaanisha nini ?
 
Onyango hana mbadala kwa sasa, tuombe tu awe na siku njema kazini kwenye mechi zote mbili.
Uzuri kwasasa ule upuuzi wa kubweteka na kutegemea ile kauli ya "kwa mkapa hatoki" hautakuwepo, maana ile kauli ilikuwa ni ya kipuuzi sana wenye big games kama ile dhidi ya Raja na ilituadhibu, wachezaji na benchi la ufundi waheshimu team pinzani na wajiandae vizuri kuicheza game vizuri nyumbani.


Kitu cha kuomba sana ni kuepuka majeraha kwa key players wetu kwenye hizi game za karibuni, maana hatuna kikosi kipana kwasasa.

Me naamini game haitakuwa mbaya kwa Simba Sc.
 
Unaruhusiwa kuota
 
Super ligi nako typo ni mwendo wa bali linatembea. Nyie super league hamruhusiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…