Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

😂😂
 
Tatizo pesa au kuvuka robo mnapofika kizalizali kila siku!?..yanga Haina shida na pesa
Kizari zari na wakati ulikuwa unaona miamba iliyokuwa inaangushwa ni heavy weight?

Yanga haina shida na pesa wakati mchango wa 29,000 wa kulipia kadi Manara aliwaamuru magrupu admin kuwa remove members ambao hawatoi hela na kufanya Club ikwame?
 
Kilichobaki kwa simba n kutimiza ratiba tu safari yake imeishia hapa. 😜
 
Kizari zari na wakati ulikuwa unaona miamba iliyokuwa inaangushwa ni heavy weight?

Yanga haina shida na pesa wakati mchango wa 29,000 wa kulipia, kadi Manara aliwaamuru magrupu admin kuwa remove members ambao hawatoi hela na kufanya Club ikwame?
Heavy weight gani babu, jwaneng!?...unataka uanachama uwe Bure!?
 
Huku Mtaani vilio vimetawala Baada ya makolo ....aka dunduka kupangiwa na miamba ya soka hapa Africa ( wydadi Casablanca) ambaye Kwa kweli sio level kabisa....kimsingi Simba ni under cat[emoji250] ( sio under dog Tena ) Kwa sababu ni mdogo mno

Vilio vimetawala Kwa mashabiki wikitaka wabadilishane na wananchi vikosi


Nasemajeee! nasemajeee! ONYANGO KIDOGO, MAGOLI MENGIIII[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mmeyakanyagaaaaaa mtanii sio siri.[emoji119][emoji119]

R I P again BOB JUNIOR [emoji848]


Ushauri: Simba kimbilieni Malawi mkajifiche
 
Marehemu alikua na mdomo sana,utapigwa tatu Kama konyagi kwa mkapa Kisha nne Casablanca
Uzuri ni kwamba hata hilo unalolisema likitokea haiwezi kuwa noma

Unajua kwasababu gani?

Kwasababu nimefungwa na timu kubwa tena kwenye mashindano makubwa na magumu.

Ishu ipo kwenye levels zenu za form four failures ambao mmegeuka kuwa resetters na kuanza kujifananisha na sisi
 
Huko form four failures, mpaka uliroga ili angalau uvuke robo kwenda nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…