Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Tucheze tu kupata Uzoefu na Kujifunza mengi kutoka Kwao waliotuzidi karibia kila Kitu na kamwe tusianze kupeana Moyo Kipumbavu, kutoleana mfano wa kuitoa Zamalek FC 2003 Kwao na kuanza Kuaminishana na Vispika vyetu Mitaani kuwa tukaujaze Uwanja sijui Mwarabu anakufa.

Kudadadeki Mwarabu hafi Dar wala Casablanca. Ifike muda tuwe Wakweli na Watu wa Uhalisia na tuache Unafiki kuwa tuna Ubavu wa Kucheza hadi Kushindana na Timu ambayo Gharama tu ya Mchezaji wake Mmoja ni sawa na Bajeti yetu Mo Dewji Wapeana Moyo FC kwa mwaka mzima.

Ukiununia huu Uzi wangu GENTAMYCINE nakushauri chagua moja wapo kati ya Kunywa Sumu ya Panya ufe kabisa au mtafute upesi Daktari Mkaguzi aliyemkagua Afande Rama wa Zanzibar na kukuta Uwazi ( Njia iko wazi Kitambo hicho ) ili akukague nawe sawa?

Imeisha hiyo.......!!!!!!
 
This burden is too heavy to carry
Kuna faida zake za kucheza na bingwa, ukiweza kukomaa naye maana bingwa Unakuwa Wewe.

Tatizo Waarabu kwao mpaka sasa nadhani Mamelodi Sundowns peke yake ndio mwenye uwezo wa kupambana nao.

Wanazijuwa vizuri sana hizi mechi za mtoano, wakija kwa Mkapa shida yao kupata droo tu au ushindi Mdogo, ila ukienda kwao umekwisha.
 
Tucheze tu kupata Uzoefu na Kujifunza mengi kutoka Kwao waliotuzidi karibia kila Kitu na kamwe tusianze kupeana Moyo Kipumbavu, kutoleana mfano wa kuitoa Zamalek FC 2003 Kwao na kuanza Kuaminishana na Vispika vyetu Mitaani kuwa tukaujaze Uwanja sijui Mwarabu anakufa...
Ukweli mchungu leo umesema popoma

Japo katika mpira lolote linaweza kutokea, ila dhidi ya muarabu itakuwa ni kiasi kiduchuuuuuuu
 
Hao tukiwafunga goli 2 bila, tukifika kwao tukaze tufungwe hata goli 1 tu, hapo tutakuwa tumetoboa
Wakati huo wao wamelala unawafunga tu
IMG-20230404-WA0000.jpg
 
Wote nadhani tumeshuhudia droo ya caf,robo fainal simba sc vs wydad Casablanca ni Morocco tenaaaa.

Simba sc Safari yenu imeishia hapa kuhusu kwenda nusu fainal msahau, mashabiki wapumbavu bdo wanaimani watatoboa😁😁

Screenshot_20230405-235805~2.png
 
Tucheze tu kupata Uzoefu na Kujifunza mengi kutoka Kwao waliotuzidi karibia kila Kitu na kamwe tusianze kupeana Moyo Kipumbavu, kutoleana mfano wa kuitoa Zamalek FC 2003 Kwao na kuanza Kuaminishana na Vispika vyetu Mitaani kuwa tukaujaze Uwanja sijui Mwarabu anakufa.

Kudadadeki Mwarabu hafi Dar wala Casablanca. Ifike muda tuwe Wakweli na Watu wa Uhalisia na tuache Unafiki kuwa tuna Ubavu wa Kucheza hadi Kushindana na Timu ambayo Gharama tu ya Mchezaji wake Mmoja ni sawa na Bajeti yetu Mo Dewji Wapeana Moyo FC kwa mwaka mzima.

Ukiununia huu Uzi wangu GENTAMYCINE nakushauri chagua moja wapo kati ya Kunywa Sumu ya Panya ufe kabisa au mtafute upesi Daktari Mkaguzi aliyemkagua Afande Rama wa Zanzibar na kukuta Uwazi ( Njia iko wazi Kitambo hicho ) ili akukague nawe sawa?

Imeisha hiyo.......!!!!!!
Mm naona kama vip tusiingize timu uwanjani , maana tunaenda pata aibu kama taifa
 
mi niliwaambia mwaka huu Casablanca wana jambo lao msimbazi...
[emoji23][emoji23] Daah naona kama bora Raja, kuliko Wydad
 
Back
Top Bottom