Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi jiandae kukazwa hizo 6Nimeikuta mahali hii
Yani kama kile kile.kipigo ulichopigwa na ndugu yake miaka ileeeee View attachment 2577886
Haya mambo ya kishirikina umeanza lini?Kama wewe ni mtu wa dini basi umenisikitisha sana kwa ufinyu wa maarifa kuhusu mambo ya kiroho
Moto ni indication ya nuru, ushirikina haupatani na nuru.
Moto ni alama ya ukombozi, moto ni alama ya tumaini jipya na ndio Moses anapousogelea mti unaowaka moto aliambiwa avue viatu kama ishara ya kutii nguvu ya nuru.
Palipo na moto hapawezi kuwa na mchawi, hata ukifatilia stori za wachawi wanakula nyama mbichi kwasababu moto kwao ni sumu.
Kama unanibishia jaribu kumuuliza bibi yeyote wa mtaani kwako
Probability ya Simba kufuzu ni 7.5/10 au sio?? AiseeeSimba akitolewa hapa haitakuwa story sana kulingana na opponent wake(Japo nina uhakika 75+%simba kufuzu)....
kimbembe ni akitolewa yanga(Nawapa 85%+ kushinda)...na yenyewe its due to the nature of opponent
Simba atashinda Dar lakini pia simba atafungwa Morroco. Haya maneno yatunze hapa tutayarudia.Usikariri matokeo. Timu youote inayofika hatua hii huwezi kuibeza na INAWEZEKANA Waydad akatolewa si kwa kuwa hana uwezo ila kwa sababu ya kuona kapata timu dhaifu.Tucheze tu kupata Uzoefu na Kujifunza mengi kutoka Kwao waliotuzidi karibia kila Kitu na kamwe tusianze kupeana Moyo Kipumbavu, kutoleana mfano wa kuitoa Zamalek FC 2003 Kwao na kuanza Kuaminishana na Vispika vyetu Mitaani kuwa tukaujaze Uwanja sijui Mwarabu anakufa.
Kudadadeki Mwarabu hafi Dar wala Casablanca. Ifike muda tuwe Wakweli na Watu wa Uhalisia na tuache Unafiki kuwa tuna Ubavu wa Kucheza hadi Kushindana na Timu ambayo Gharama tu ya Mchezaji wake Mmoja ni sawa na Bajeti yetu Mo Dewji Wapeana Moyo FC kwa mwaka mzima.
Ukiununia huu Uzi wangu GENTAMYCINE nakushauri chagua moja wapo kati ya Kunywa Sumu ya Panya ufe kabisa au mtafute upesi Daktari Mkaguzi aliyemkagua Afande Rama wa Zanzibar na kukuta Uwazi ( Njia iko wazi Kitambo hicho ) ili akukague nawe sawa?
Imeisha hiyo.......!!!!!!
Aisee moja moja had now wydad alipigwa goli la penati dakika ya 36 mwanaume kaswazisha dakika ya 45 dogo mmoja mcongoman anaitwa Arsene Zola ndio katupia mpira wanaopiga Wydad ni wamoto sana.... Alafu yupo Away... Bonge moja la derby...Na waambie hivi saa Saba usiku kuna game ya raja vs wydad waifuatilie vizuri halafu warud na majibu juu ya mech yao kwa mkapa
Wydad n mkubwa kwa raja
Aisee moja moja had now wydad alipigwa goli la penati dakika ya 36 mwanaume kaswazisha dakika ya 45 dogo mmoja mcongoman anaitwa Arsene Zola ndio katupia mpira wanaopiga Wydad ni wamoto sana.... Alafu yupo Away... Bonge moja la derbyNa waambie hivi saa Saba usiku kuna game ya raja vs wydad waifuatilie vizuri halafu warud na majibu juu ya mech yao kwa mkapa
Wydad n mkubwa kwa raja
Ahahaha hata me nimecheka simba kazi mnayo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui hata nacheka nn yaaaan
Weka link mkuu tuchungulie woteAisee moja moja had now wydad alipigwa goli la penati dakika ya 36 mwanaume kaswazisha dakika ya 45 dogo mmoja mcongoman anaitwa Arsene Zola ndio katupia mpira wanaopiga Wydad ni wamoto sana.... Alafu yupo Away... Bonge moja la derby
Ahahaha hata me nimecheka simba kazi mnayo...
Nlinogewa na game samahani mkuu naona wakati match imeisha ujue wydad alipigwa kapambana mwishon kasawazisha, next time ntakuwa sharp, mwanangu waarabu wanautandika mpira si mchezoWeka link mkuu tuchungulie wote
👏👏👏👏👏Simba vs Wydad
Rivers United vs Yanga
Hata wewe ushindi wako dhidi ya Simba ni goli moja alafu yeye ana kupigaga 5,6,4 etcCAF haoooooo wanajuaaa aiseeee.......
Yanga sis WAARABU walituandamaaa raundiiii za mwanzo MAkoloooo mkawaa mnatuchekaaaa tuuu sasa na nyieeeee zamu yenu na mkumbuke hamjawah kumshinda mwarabu mwaka huuu hata huko nyumaa ushindi wenu ni golii 1 mkienda kwaooo TANOOO
NIKIWA MZALENDOOO NASEMA MWENDO MUMEUMALIZAAAAA LAKN KISHABIK SHABIK MPIRA NI DAKKA 90
Jibu lililotuliaNijifananishe na wewe naekubomoa nipendavyo!!?..sisi tunaanza kuchukua shirikisho kwanza Kisha tunakuja kuset standard klabu bingwa
Kila hatua duaSimba imefanyiwa umafia sana na CAF safari hii, huo ndio unaweza kuwa mwisho wao kwenye kinyanganyiro hicho. Ilianza na bahati sana kwa kukutanishwa ...
Ujanja wote mfukoniItakuwa ni sehemu ya matokeo, hakuna kipya.
Sasa ulitegemea ipangwe na timu gan?kadri mashindano yanavyosogea ukingoni kunakua na timu ngumu,na ndo maana halisi ya champions league,sasa CAF hapo wana kosa gani.Simba imefanyiwa umafia sana na CAF safari hii, huo ndio unaweza kuwa mwisho wao kwenye kinyanganyiro hicho. Ilianza na bahati sana kwa kukutanishwa na timu dhaifu kama ...