Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Mweh!Simba wakipiwa ES Tunis wanapigwa total 4+ njee ndani ..wakipewa Mamelodi Sundowns wanapigwa 6+ njee ndani..wakipewa Wydad Club Athletic wanapigwa 7+ ...
Uchaguzi ni wao kupelekewa moto aku kwepeki .[emoji91][emoji91]
When it comes to champions 🏆 League Simba ni mgumu sanaNaona wengi wanawahitaji hao zaidi
Kama sio nguvu za soda na mpira wa mdomoni....Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye.
Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na tumu moja wapo kati ya hizi
• ES Tunis 🇹🇳
• Mamelodi Sundowns 🇿🇦
• Wydad Club Athletic 🇲🇦
Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya
• A = USM Alger 🇩🇿
• B = Rivers United 🇳🇬
• C = Pyramids FC 🇪🇬
Unatamani timu yako ikutane na nani?
Mnaiona nusu fainali?
Utopolo mnapenda mashindano ya watoto ili mfike mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waletee hao Pyramids tujipigie nje ndani , Young Africans to the final[emoji573][emoji573][emoji573]
Wazee wa robo wao safari Yao imeisha tayari.
Si mchezo kabisaNawaza wale mashabiki wao wanavyopigaga kelele
Ndio nimeiweka hapa mkuu sema kwenye super cup tunaomba tukutane na Mamelody Wydad watatusumbua sanaweka akiba ya maneno
Saa 3 usikusaa tano ya asubuhi hii
dr namugari hiyo avatar yako inaweza mtoa nyoka pangoni.....HV hakunaga kitu lingine Cha sis kujadili kila Muda Ni nyuz za mpira na story ,za kishirikina
Wote tunajuwa kuwa leo italetwa draw lkn ajabu mnaanza kujadili vitu vilivo wazi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yanga mbona hawasemi chochote kuhusu super cup. Why?Ndio nimeiweka hapa mkuu sema kwenye super cup tunaomba tukutane na Mamelody Wydad watatusumbua sana
AhhaahaaaWaletee hao Pyramids tujipigie nje ndani , Young Africans to the final[emoji573][emoji573][emoji573]
Wazee wa robo wao safari Yao imeisha tayari.
Iwe hivyo hivyoSimba vs Wydad
Rivers United vs Yanga