Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Wapi? Bombom, Kijiwe Samli, Kwa Gude au Kilimanjaro Pub?Weka kwa masaa ya madafu. Ni sangapi itakuwa huku kiwalani?
Duh.Simba wakipiwa ES Tunis wanapigwa total 4+ njee ndani ..wakipewa Mamelodi Sundowns wanapigwa 6+ njee ndani..wakipewa Wydad Club Athletic wanapigwa 7+ ...
Uchaguzi ni wao kupelekewa moto aku kwepeki .[emoji91][emoji91]
Ikishafika Mtoano wa Robo Fainali Simba huwa anatepetaWhen it comes to champions [emoji471] League Simba ni mgumu sana
Ila wakirud reverse zitapungua nadhani.Simba wakipewa ES Tunis wanapigwa total 4+ njee ndani ..wakipewa Mamelodi Sundowns wanapigwa 6+ njee ndani..wakipewa Wydad Club Athletic wanapigwa 7+ ...
Uchaguzi ni wao kupelekewa moto aku kwepeki .[emoji91][emoji91]
Hao esperance tutapiga km ngomaIla wakirud reverse zitapungua nadhani.
[emoji28][emoji28][emoji28]Hao esperance tutapiga km ngoma
Updates muhimuTukio limeanza
Azam sports oneChannel Gani Azam please
Ndio imeanza SS 225