mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Nikikumbuka nje ndani za msimu uliopita naona bado hawana bahati kivileUto wana bahati sana
FineDone
Hapana mzee kipindi kile walikuwa na kikosi kibovuNikikumbuka nje ndani za msimu uliopita naona bado hawana bahati kivile
Wanapiga kwenye mshonoNaona viongozi wa Rivers wanashangilia sana kazi imeisha, tunafuatilia league ya Nigeria tunajua
Mshindi wa hapa atakutana na Mshindi wa kati ya Yanga ama RiversMalumo gallant vs pyramid
Mshindi wa mechi ya Yanga vs Rivers anakutana na mshindi wa Pyramids vs Gallants halafu anaanzia home, hivyo Yanga akipenya Q8, kwenye Q4 ataanzia Taifa...