Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Mimi ni shabiki wa Simba ila Haki ya mungu tukipangwa na hiyo Wydad casablanca basi ndo safar yetu imeishia hapo yani ***** haturambi hata Milion Tano, na hata kam Rais akisema kila kona mnapewa milion 5 bado hatutoramba hata Moja.

Ngoja niingie kwnye mfungo wa nusu saa hapa wa kuomba hicho kikombe cha Wydad kituepuke Yarabi. SIMBA NGUVU MOJA
 
Mpira hauna ushirikiana, nendeni mkapambane uwanjani.


Tukirudi kwenye point yako ya kujaribu kulinganisha Congo na Nigeria kiushirikina, nadhani utakuwa unatania.
 
Mpira hauna ushirikiana, nendeni mkapambane uwanjani.


Tukirudi kwenye point yako ya kujaribu kulinganisha Congo na Nigeria kiushirikina, nadhani utakuwa unatania.
Ingia YouTube google finally ya Africa 🌍 cup of nations

Moja ya
Case study
Ivory coast vs Egypt

Dider drogba alikosa goli la wazi ule mpira hata wew usinge upaisha...

Ushirikina upo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…