mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Mpira ni takwimu mkuu.. Simba aliyeifunga Ahly alikuwa ni top timu ndani ya nchi yake akiwa ni bingwa back to back 3 times paka wakati ule huku akiwa na makombe yote ya ndani kuanzia community shield paka Azam federation Tena back to back...Hata wakati ule (alipowafunga Ahly) hamkuwahi kumheshimu, mlidai kapuliza dawa na mliwaita underdogs.
Leo mnawezaje kusema ile ilikuwa ni Simba Sc hatari?
Takwimu za Simba za kipindi kile zilionesha Simba ile ilikuwa timu Bora sana Kwa wakati huo japo kawaida ya utani tuliwabeza..
Nakushangaa umeshindwa kuliona hilo na unaishi ki mazoea wakati uhalisia unaonekana wazi kabisa.
Msipokubali kukosolewa Yanga atawapiga gemu hata huko kimataifa ambapo rekodi ya robo fainal mnaiona kama kilele Cha mafanikio Kwa timu yenu