Droo tamu sana hii kwa Wananchi... Tuna point 6 zetu kwa watunisia + point 4 za hawa Bamako + 4 za wakongo = point 14
Tunaongoza kundi Kisha Hapo robo final leta piramid tuna droo Kwa mkapa Kisha tunaenda kumpigia kule kwao kama kawaida yetu Kisha semi final iyooo....
Historia mpya inaandikwa na hizi habari za hawa jamaa zetu mara oooh tumefika robo fainal zinakuwa zimekufa kifo Cha mende.... Au nasema uwongo ndugu zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]