Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Droo tamu sana hii kwa Wananchi... Tuna point 6 zetu kwa watunisia + point 4 za hawa Bamako + 4 za wakongo = point 14

Tunaongoza kundi Kisha Hapo robo final leta piramid tuna droo Kwa mkapa Kisha tunaenda kumpigia kule kwao kama kawaida yetu Kisha semi final iyooo....

Historia mpya inaandikwa na hizi habari za hawa jamaa zetu mara oooh tumefika robo fainal zinakuwa zimekufa kifo Cha mende.... Au nasema uwongo ndugu zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂
 
Umekosea kidogo [emoji23][emoji23]
Points 4 za Bamako [emoji736]
 
Endelea kusubiri mechi ya marudiano hivyo hivyo ili muumbuke zaidi. Nakukumbusha tu kuwa mechi ijayo Yanga akishinda anakuwa kakata tiketi ya robo fainali
Asa si mpaka ashinde hizo hamsa nilizozitabiri nilikuwa namaanisha mechi ya marudiano ya kule Congo.
 
[emoji3064][emoji3064]
Na hapa sijui umeandika kitu gani

Ila I guess kilikuwa ni kitu cha kijinga

Screenshot_20230310-211006.png
 
Back
Top Bottom