Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Umeanzisha huu uzi fresh kabisa ila atakuja mtu huko kukuita mshabiki wa Yanga kisa tu Orlando piratesUtaratibu ni ule ule, Marafiki wa Orlando Pirates huu ni uzi wetu. Hapa ndio mahali tutakapokuwa tunakutana kupanga mikakati ya ushindi.
Mechi robo fainali tutacheza dhidi ya simba ya huko Tanzania. Mechi ya kwanza tutaanzia huko kwao kisha mechi ya pili watakuja hapa soccer city...
Wakuu najaribu kutafuta hbr za Simba kapangwa na Nani sijaona mpaka kufikia sas embu niambieni in a very brief ly
Mnyama atacheza na Nani lini na atanzia ugenini au Happ Hap kwa wazee wa vitochi
Ova
Safari bado ni ndefuNaona mashabiki wa Yanga wanafurahia Simba kupangwa na Orlando Pirates
Al ahly, Zamalek, Wydad, Raja, CS Sfaxien, Etoile du Sahel, TP mazembe hawa magiant lazima wawepo kila msimu hatua za juu
Berkane, Pyramids na Mamelodi hawa nao miaka ya karibuni wamekuwa miongoni mwa magiant
Ikabidi niangalie mafanikio ya Pirates maana huwa siwasikii kwenye mashindano ya afrika zaidi huwa nawasikia kwenye Soweto derby
View attachment 2176868
Simba lengo letu ni ubingwa na huwezi kuwa bingwa kwa kuchagua timu sisi yoyote kati ya hawa waliobaki ni kubamiza tuHii ni pigo kwa Simba,timu nzuri ilikuwa zile za Waarabu kama iliyocheza na Biashara Al Ahly Tripoli au Al Ittihad zote za Libya
Orando ni mlima mrefu.
Hawa ndo wale wanavamiwa wanaliwa na kiboga bila upinzani.Hakuna cha maana hapo ulichoandika simba watu wazima usitutishie nyau….sisi sio UTO masihara tupo finale kweli team yetu ina madhaifu ila tuna kufa kiume kama Ukraine…mwanaume hutakiwi kuwa muoga hivo kwa mwanaume mwezako….huo woga wenu wake zenu mnaishi nao vipi au! SiMBa NGuvu Moja Tunapita kikwazo hiko
Usemalo n kweli record ya simba si njema sana hasa inapofika kupgania nafasi ya kusonga mbele inapgana sanaaaIzo timu zilizopo kundi moja na simba nao pia kila mmoja kwa wakati wake anaombea asikutane na simba,
Mkuu tuiombee Timu yetu pendwa sana ya Simba ili iweze kufanya vizuri, maana Ushindi wa SIMBA utakuwa ni Ushindi wa Watanzania wote.Dah! Kweli ng'ombe wa maskini hazai! Yaani hapo Simba ana wakati mgumu. Bora hata angekutana na hao Waarab wa Libya, au Tp Mazembe!
Anyway, ngoja tusubiri tuone. Kwa sababu lolote linaweza kutokea. Maana bado hatujasahau walichofanywa kwenye mechi ya ugenini na Kaizer Chiefs msimu uliopita.
Kha!kha!, Utopolo's voice.Hujatahiriwa wewe. Mwanaume aliyekatwa govi lile haweza kuropoka ovyo ovyo na kujichekesha chekesha ovyo kama wale wadada wanaoshinda baa, kisa simba. Pumbavu. Kama we ni mwanaume unatakiwa ue kama mwanaume kweli , sio kama govi.