Droo ya robo fainali UEFA imepangwa. Ratiba nzima hii hapa

Madrid safari hii wasitegemee watashinda kizembe kama mwaka Jana round hii watapigwa hawataamini, na man city asioochukua kombe mwaka huu hachukui tena.
 
Mwanzo wakati natazama Seria A kitu kilichokua kinanikela ni kimoja ligi Yao inamvuto ila timu zao kweny champions league zinabweteka ila Kwa kipindi hichi Seria A imeaza kurudi kweny ubora wake Napoli na Milan bonge moja la game
 
Ni mechi itakayokuwa na magoli zaidi ya mawili.
 
Tofautisha kati ya Draw na Ratiba. Nimekimbia humu nikajua ntapata tarehe za michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…