Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 | Doha, Qatar | 20.02.2025

IMG_5374.jpeg
 
Hamna kitu ka iko. Unajifariji tu hapa Mtani. 🤣🤣🤣

Na ukawiagi kupotezea quotes zangu mambo yakienda kinyume.
Wanajifariji kama yanga walipojifariji kuwa wanaenda kuwa wa5 afrika
 
Nasikia draw ya champions league Yanga atacheza na Vitambi noma fc ya huko katumba tukuyu
 
KAMA TIMU YAKO KWA NAMNA YOYOTE ILE HAIJATAJWA LEO PALE DOHA BASI HIYO NI KAMATI YA HARUSI🤣🤣
 
Wow daima mbele nyuma mwiko umetunasia
 

Attachments

  • FB_IMG_17400674061126089.jpg
    FB_IMG_17400674061126089.jpg
    153.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom