Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #181
Mamelodi Sundowns Vs Esperance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibenge pole 😔Al Ahly Vs Al HILAL
Penati ni sehemu ya mchezo kwenye soka.Mngepeleka HATA Refa wa penalty JAMAN kama.......maana wanajitahidi na refkadi zao
Ndugu wa damu wamekutanishwaCS Constantine Vs USMA
Wametulia wanaangalia droo kimyakimya🤣Heheheeee! Wapiiii mtaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Al Ahly atapewa kibonde kama kawaida yake
Wanajifariji kama yanga walipojifariji kuwa wanaenda kuwa wa5 afrikaHamna kitu ka iko. Unajifariji tu hapa Mtani. 🤣🤣🤣
Na ukawiagi kupotezea quotes zangu mambo yakienda kinyume.
Na kapicha kao umekapost, uto wanaumia balaa
unaninizungumzia mimi mkuu?Bora umeushika Uzi mwamba Mwenyewe.
Greatest Of All Time
Hawa watoto humu ndani hawajui hata Live.
Sukrani Mtaalam
Zamalek ni timu kama nyingine, kama kaka zao Al Ahly wanafungika wao ni nani!?Nusu kuna zamaleck, sio rahisi kiivyo aisee.
Zamaleck yuko motooo balaaa