Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.