Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.

Mtaka ni Next GenerationHivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kuna tofauti kubwa. Mkuu wa mkoa ni chief executive wa mkoa. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi, na aspect moja ya kazi yao ni kuisimamia Serikali.Hiyo haitatofautisha wabunge na Wakuu wa mikoa
Hawa wawe wanaomba kazi wanafanya interviews Kwa panels of experts na kuchujwa na kupewa contracts
Naunga mkono hoja, hawa ni sawa na magavana, walipaswa kuchaguliwa na wananchi, hiki kinachoendelea kwa hawa kuteuliwa ni muendelezo wa the colonial legacy tuu, na Tanzania hatujawahi kupata leaders of change, transformational leaders kuondoa huu ujinga wote wa colonial legacy, mfano baada ya kuwa na wakurugenzi wa halmashauri, ma DC ni wa nini?!. They are totally redundant, they are wastage of time, money and resources!.Hao wakuu wa mikoa walipaswa kuchaguliwa na wananchi kwenye chaguzi na si kuteuliwa na raisi.
Mkuu Pucha, Pulchra Animo , sijawahi kuwa na PR engagement na RC Mtaka, bali ni kwenye news asignments tuu, he is a doer!. Enzi za JPM he was the best RC, ndio akapelekwa Dodoma!.Sawa, Bro. Mayalla, lakini PR engagements zako na RC Mtaka zimekujengea conflict of interest na kutia doa recommendation yako ya yeye kuhamishiwa Dar!
Mnataka wapinzani wawe wenye viti wa kamati ya ulinzi na usalama ili wachukue nchi kiulaini sio ? 😁 uwo ni mtego ambao ccm hawatoingia kamweNiliwahi kushauri huko nyuma (2022), soma hapa: Serikali ijaribu sera ya madaraka mikoani, yaweza kabisa kuibadili nchi yetu ndani ya kipindi kifupi juu ya kubadili sera ya madaraka mikoani ingafaa sana kuwapata watu wa aina ya huyo unaempendekeza.
Watu hawa RC na mameya wa majiji ni watu ambao wapaswa kuchaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura.
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.
Mkuu Njemba Soro. , mkoa wa Kilimanjaro ni kama Kagera, Tanga, ni mikoa laini laini kuongoza, haina changamoto zozote za kiutawala, watu wake wote ni kabila moja, ni wasomi, hawana shida kabisa!.Babu @pascalmayalla nani kakuambia Kilimanjaro ni mkoa mlaini .... Nani kakudanganya??
Katiba yetu ya nchi haielekezi hivyo. Kwa hiyo, neno 'walipaswa' halistahili kutumika kujenga hoja yako.Hao wakuu wa mikoa walipaswa kuchaguliwa na wananchi kwenye chaguzi na si kuteuliwa na raisi.