Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
Mzee Pascal kwa uzoefu wako wa uandishi na mahojiano na viongozi huenda ni kweli, lakini nadhani viongozi hutofautiana mikakati na namna gani ya kuongoza ili mambo yaende sehemu fulani.
Mh Mtaka ni mzuri kwenye kuunda wazo na jambo likafanyika hasa sehemu yenye upungufu wa jambo husika mfano simiyu alivyo pandisha ufaulu wa shule, vivyo hivyo hufanya mikoa anayo enda, ni tofauti na mkoa wa dar es salaam maana kila kitu kimesha fanyika kutafuta gaps ili uje na jambo ni ngumu kutokana na mazingira yanahitaji mtu atakae pewa jambo na kulianza papo hapo pasipo kuweka mikakati ya muda mrefu.
Sasa akiletwa dar es salaam inaweza kuwa ni jambo jema japo kwa utendaji wake sio wa kukurupuka mkoa unaweza kupoa nadhani alie sasa hivi aelezwe na huenda wanamfahamu muenendo wake kwahiyo wanaweza mmudu
Ila kwa Antony Mtaka ni mzuri kutafuta gaps na kuliendeleza mpaka likawa jambo kubwa, aina hiyo ya watu wakikaa sehemu miaka 5 na wakapata support yote unaweza kutana na mambo tofauti kuliko ulivyo dhamiria maana ni mtu anae unda from roots to leaves.
kwa namna hiyo sehemu anazo ongoza anafiti zaidi kumleta kwenye kelele na majungu kunaweza tumuone hafai tena hata kama uongozi unatakiwa uwe dynamic
Vivyo hivyo kwa viongozi wacheshi na wakuongea wakute jambo then waliendeleze kwa maneno maana ndio siasa ila wengine ni watendaji maneno kidogo matendo kwa sana.